Hatimaye nmegundua mtoto si Wangu. Mama anataka kuniroga

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,095
2,429
Huyu dada nlidate naye miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa.kipindi nadate naye kumbe nlimkuta na jamaa then akamwacha akawa nami.mi sikujua.

Baada tu ya miezi kama tisa hivi akanambia ana mimba yangu.sikuwa nmepanga kumuoa.na nlishamwambia mapema coz nligundua tunapishana mambo kadhaa.

Nikamhudumia akajifungua nikawa kila mwisho wa mwezi namtumia 400,000 baadaye nikawa namtumia 500,000 mpaka miezi 5 ago nilikuwa namtumia 700,000 na mtoto namlipia ada, nalipa kodi ya nyumba kwa mwaka pia.

Nlimnunulia gari ili mtoto asisumbuke katika usafiri nlimnunua IST baadaye akauza nikamwongezea nikamnunulia Mark X kama ambavyo alitaka.

Huyu mama akawa anazid kunisumbua anata niwe nampa mil.1.2 kwa mwezi kwa matunzo ya mtoto. Nikamwambia basi asubiri kwanza niweke mambo yangu sawa maana kuna ujenzi wa nyumba nyingine natakiwa nimalize ghorofa 3.

Akaanza vituko na kutishia kunipeleka ustawi wa jamii.mimi sikutaka kufika huko. Nikajibana miezi miwili nikampa 850,000 nazo anadai ndogo.mimi sina pesa si tajiri ntafanyaje?

Akawa hatosheki bado anataka sometime tukutane tu sex.nikawa namkatalia ananitishia kuwa atakuja kazini kufanya fujo.pesa nimpe na bado anilazimishe tu sex mimi sitaki.

Nina mke na watoto wawili nao huku natakiwa niwa take care. Nina watu nmewaajiri nao wana familia zao wanategemea waishi kupitia kazi zao.

Week iliyopita nilimchukua mtoto nikampeleka kwa dr wangu tupime DNA jumatano kanipa majibu. Mtoto si wangu. Anasema alipima mara tatu sehemu tofaut tofaut.

Nmesikitika sana. Kumbe yule dada alikuwa anajua akanibambikia mimi makusudi. Sasa jambo baya ni yeye kuwa greedy.nmemwambia tu aendelee na maisha yake mtoto ntaendelea mlipia ada ya shule.

Alianza kutuma msg nimsamehe na kunibembeleza.nikawa siwezi mjibu kitu.sasa anatishia kuniroga n.k kwa nini wadada mnakuwa wakatili hivi?

Maisha yenyewe haya mafupi sana kwa nini tena tufanyiane mtima nyongo? Nmehuzunika sana. Sababu inaonekana wanawake wengi sasa hawana mapenzi ya dhati.

Wife naye haelewi pamoja na kuwa nilimwambia mapema suala hili sasa kacharuka.nmemwonesha hata meseji zangu na huyo dada kuwa sijasex naye zaidi ya miaka 4 sasa. Amegoma mwezi wa 4 huu anasema hataki kusex nami mpaka ifike 6 tukapime upya.

Na amehama chumba. Mimi ni binadamu je ntaishi vipi nami nahitaji huduma hiyo?

Please dont take it personal.its on smeone's behalf.
 
Nika mwambia basi asubiri kidogo niweke mambo sawa ..maana kuna ujenzi natakiwa nimalizie wa ghorofa 3..

Haya Madada wa mjini fursa hiyo imejileta Sebuleni" natumai mtoa mada atakuwa hajapiga kufuli Pm

....

Pole sana kwa yaliyo kufika mtoa mada
Usisahau kulipia Tangazo
 
Huyu dada nlidate naye miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa.kipindi nadate naye kumbe nlimkuta na jamaa then akamwacha akawa nami.mi sikujua.

Baada tu ya miezi kama tisa hivi akanambia ana mimba yangu.sikuwa nmepanga kumuoa.na nlishamwambia mapema coz nligundua tunapishana mambo kadhaa.

Nikamhudumia akajifungua nikawa kila mwisho wa mwezi namtumia 400,000 baadaye nikawa namtumia 500,000 mpaka miezi 5 ago nilikuwa namtumia 700,000 na mtoto namlipia ada, nalipa kodi ya nyumba kwa mwaka pia.

Nlimnunulia gari ili mtoto asisumbuke katika usafiri nlimnunua IST baadaye akauza nikamwongezea nikamnunulia Mark X kama ambavyo alitaka.

Huyu mama akawa anazid kunisumbua anata niwe nampa mil.1.2 kwa mwezi kwa matunzo ya mtoto. Nikamwambia basi asubiri kwanza niweke mambo yangu sawa maana kuna ujenzi wa nyumba nyingine natakiwa nimalize ghorofa 3.

Akaanza vituko na kutishia kunipeleka ustawi wa jamii.mimi sikutaka kufika huko. Nikajibana miezi miwili nikampa 850,000 nazo anadai ndogo.mimi sina pesa si tajiri ntafanyaje?

Akawa hatosheki bado anataka sometime tukutane tu sex.nikawa namkatalia ananitishia kuwa atakuja kazini kufanya fujo.pesa nimpe na bado anilazimishe tu sex mimi sitaki.

Nina mke na watoto wawili nao huku natakiwa niwa take care. Nina watu nmewaajiri nao wana familia zao wanategemea waishi kupitia kazi zao.

Week iliyopita nilimchukua mtoto nikampeleka kwa dr wangu tupime DNA jumatano kanipa majibu. Mtoto si wangu. Anasema alipima mara tatu sehemu tofaut tofaut.

Nmesikitika sana. Kumbe yule dada alikuwa anajua akanibambikia mimi makusudi. Sasa jambo baya ni yeye kuwa greedy.nmemwambia tu aendelee na maisha yake mtoto ntaendelea mlipia ada ya shule.

Alianza kutuma msg nimsamehe na kunibembeleza.nikawa siwezi mjibu kitu.sasa anatishia kuniroga n.k kwa nini wadada mnakuwa wakatili hivi?

Maisha yenyewe haya mafupi sana kwa nini tena tufanyiane mtima nyongo? Nmehuzunika sana. Sababu inaonekana wanawake wengi sasa hawana mapenzi ya dhati.

Wife naye haelewi pamoja na kuwa nilimwambia mapema suala hili sasa kacharuka.nmemwonesha hata meseji zangu na huyo dada kuwa sijasex naye zaidi ya miaka 4 sasa. Amegoma mwezi wa 4 huu anasema hataki kusex nami mpaka ifike 6 tukapime upya.

Na amehama chumba. Mimi ni binadamu je ntaishi vipi nami nahitaji huduma hiyo?

Please dont take it personal.its on smeone's behalf.
Duh tajili mkubwa wa kununulia demu Mark X na kumlipa 1.2m kwa mwezi una mda wakupoteza na masuala madogo kama hayo eti tu sex nae kuniroga....hayo tuachie sisi makapuku.....
 
Sasa unamchelewesha nini watu kama hao mimi namalizaga juu kwa juu shenzi kabisa na vile vijana wakazi wapo asee daaa..
 
Mhhh kazi unayo kaka wanaume tunafail wapi aisee kwenye suala la kubambikiziwa watoto. Na nyie wadada mnawaponza wenzenu ndo maana wanaume tunakataaga mimba zingine mnatuona wabaya
 
Huyu dada nlidate naye miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa.kipindi nadate naye kumbe nlimkuta na jamaa then akamwacha akawa nami.mi sikujua.

Baada tu ya miezi kama tisa hivi akanambia ana mimba yangu.sikuwa nmepanga kumuoa.na nlishamwambia mapema coz nligundua tunapishana mambo kadhaa.

Nikamhudumia akajifungua nikawa kila mwisho wa mwezi namtumia 400,000 baadaye nikawa namtumia 500,000 mpaka miezi 5 ago nilikuwa namtumia 700,000 na mtoto namlipia ada, nalipa kodi ya nyumba kwa mwaka pia.

Nlimnunulia gari ili mtoto asisumbuke katika usafiri nlimnunua IST baadaye akauza nikamwongezea nikamnunulia Mark X kama ambavyo alitaka.

Huyu mama akawa anazid kunisumbua anata niwe nampa mil.1.2 kwa mwezi kwa matunzo ya mtoto. Nikamwambia basi asubiri kwanza niweke mambo yangu sawa maana kuna ujenzi wa nyumba nyingine natakiwa nimalize ghorofa 3.

Akaanza vituko na kutishia kunipeleka ustawi wa jamii.mimi sikutaka kufika huko. Nikajibana miezi miwili nikampa 850,000 nazo anadai ndogo.mimi sina pesa si tajiri ntafanyaje?

Akawa hatosheki bado anataka sometime tukutane tu sex.nikawa namkatalia ananitishia kuwa atakuja kazini kufanya fujo.pesa nimpe na bado anilazimishe tu sex mimi sitaki.

Nina mke na watoto wawili nao huku natakiwa niwa take care. Nina watu nmewaajiri nao wana familia zao wanategemea waishi kupitia kazi zao.

Week iliyopita nilimchukua mtoto nikampeleka kwa dr wangu tupime DNA jumatano kanipa majibu. Mtoto si wangu. Anasema alipima mara tatu sehemu tofaut tofaut.

Nmesikitika sana. Kumbe yule dada alikuwa anajua akanibambikia mimi makusudi. Sasa jambo baya ni yeye kuwa greedy.nmemwambia tu aendelee na maisha yake mtoto ntaendelea mlipia ada ya shule.

Alianza kutuma msg nimsamehe na kunibembeleza.nikawa siwezi mjibu kitu.sasa anatishia kuniroga n.k kwa nini wadada mnakuwa wakatili hivi?

Maisha yenyewe haya mafupi sana kwa nini tena tufanyiane mtima nyongo? Nmehuzunika sana. Sababu inaonekana wanawake wengi sasa hawana mapenzi ya dhati.

Wife naye haelewi pamoja na kuwa nilimwambia mapema suala hili sasa kacharuka.nmemwonesha hata meseji zangu na huyo dada kuwa sijasex naye zaidi ya miaka 4 sasa. Amegoma mwezi wa 4 huu anasema hataki kusex nami mpaka ifike 6 tukapime upya.

Na amehama chumba. Mimi ni binadamu je ntaishi vipi nami nahitaji huduma hiyo?

Please dont take it personal.its on smeone's behalf.
Mbona unajenga kajumba kadogo sana,ghorofa 3 inakutosha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom