amemaanisha nini ?

amemaanisha nini ?

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,796
Reaction score
48,051
nimeambiwa "u ain't just acting like a man"

hii ina maanisha nini ? anataka niweje ?
 
Una uhakika unaila mbunye vizuri kweli?
BTW: Hizo ni dalili za kukimbiwa mda utaongea
 
Au mkuu ulitengewa mzgo ukaishia kuchekacheka tu [emoji23][emoji23]
hahahaha hapana mkuu, nimekaa nae room mara moja tu, na hiyo siku ndipo nilimwambia nampenda akasema tuwe marafiki tu,nikapotezea stori za mapenzi,nikawa nampigisha stori zingine tu mpaka usiku sana nikaondoka
 
Inategemea ni nini kimepelekea hadi aseme maneno kama hayo,, but in general ni kwamba hujaact kama ambavyo alitegemea.
mkuu emu nisaidie, ni act vipi ? nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliambiwa nina mambo ya kitoto
 
mkuu, nimeanza kuongea nae juzi,leo kaniambia hivo,inawezekana kweli nimemdekea ?
Hadi mwanamke aseme hivyo kuna sababu nyingi mkuu inategemea matarajio yake kwako!

Mfano yeye anataka mwanaume jasiri,anayejiamini n.k
Au kwake yeye mwanaume ni anayetoa pesa za kutosha!
Au kwake yeye mwanaume mbabe ndo anamkubali.. Muulize
 
Be a man, amemaanisha hufanyi vitu kama mwanaume (una tabia za kike).

Acha kulialia, kudeka, kutunzwa, umbea, kununa ovyo, anakaa ghetto afu humkazi na mengine mengi yenye mfanano na hayo
hapo kasoro kutunzwa na umbea,mengine yote ni kweli hua nafanya,nitaacha
 
Hadi mwanamke aseme hivyo kuna sababu nyingi mkuu inategemea matarajio yake kwako!

Mfano yeye anataka mwanaume jasiri,anayejiamini n.k
Au kwake yeye mwanaume ni anayetoa pesa za kutosha!
Au kwake yeye mwanaume mbabe ndo anamkubali.. Muulize
nimemuuliza saivi akasema hana cha kusema ,amelala kabisa
 
Back
Top Bottom