Nawezaje kumuacha ingali bado nampenda?

5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
514
1,204
Ndugu zangu natumai mu wazima

Nimekuwa kwenye uhusiano na binti flani, kiukweli huyu binti nimempenda mapenzi ya dhati yaani real love.

Nimekuwa nae yeye peke yake tu yani kipindi chote nimempenda yeye tu bila kuchepuka. Nimempenda sana kiukweli hata na yeye alijua kuwa nampenda sana na niko nae yeye pekee.

Sasa nilipata maneno kutoka kwa mama mmoja, aliniita na kunieleza kwamba binti huyo si mzuri wa tabia, kwamba ni malaya. Kiukweli nilianza kufuatilia mienendo ya binti ikaonekana kampani yake kubwa ni wanaume.

Nikamuuliza kwanini akanijibu eti yeye anapenda sana kampani ya wanaume kwakuwa hawana majungu kama wanawake.

Binti mwenyewe yuko kwa wazazi wake na amehitimu mwaka jana stashahada ya statistics. Kiukweli mimi ninampenda sana lakini najifikiria kumuacha.

Wakuu nisaidieni njia nifanyeje ili nimsahau kabisa, kwani nahitaji kumuacha ingali bado nampenda. Nataka kumuacha kwakuwa nimehisi atanisumbua na stress siku za usoni maana kila nikimkuta na mwanaume anadai ni rafiki yake, na mimi hali hiyo naona sitaiweza kwakweli.

Ndugu zangu nifanyeje ili nimsahau kabisa? Njia gani watu hufanya ili kumuacha mtu ingali bado unampenda?

Maana kuna mda najitahidi nisimpigie simu wala text lakini nnashindwa kumudu nampigia. Akitaka tuonane anakuja kwangu tunaongea vizuri tu ila mimi moyo unataka kumuacha ila nimeshindwa.

Mawazo yenu wadau
 
1. Usimuache subiri akuche yeye. Eee maana hakuna namna sasa, kama wewe huwezi kumuacha kwanini ujilazimishe kumuacha..

2. Tafta msichana mwingine kabla hujamuacha huyo ukishakuwa busy na mtu mwingine huyo utamuacha automatic tu.

3. Acha ujinga
 
Ndugu zangu natumai mu wazima,

Nimekua kwenye uhusiano na binti flani, kiukweli huyu binti nimempenda mapenzi ya dhati , yani real love

Nimekua nae yeye peke yake tu yani kipondi chote nimempenda yeye tu bila kuchepuka,
Nimempenda sana kiukweli hata na yeye alijua kua nampenda sana na niko nae yeye pekee,

Sasa nilipata maneno kutoka kwa mama mmoja, aliniita na kunieleza kwamba binti huyo si mzuri wa tabia, kwamba ni malaya,

Kiukweli nilianza kufuatilia mienendo ya binti inaonekana kampani yake kubwa ni wanaume, nikamuuliza kwanini akanijibu eti yeye anapenda sana kampani ya wanaume kwakua hawana majungu kama wanawake,

Binti mwenyewe yuko kwa wazazo wake na amehitimu mwaka jana stashahada ya statistics

Kiukweli mimi ninampenda sana lakini najifikiria kumuacha,

Wakuu nisaidieni njia nifanyeje ili nimsahau kabisa, kwani nahitaji kumuacha ingali bado nampenda,

Nataka kumuacha kwakua nimehisi atanisumbua na stress siki za usoni,

Maana.kila nikimkuta na mwanaume anadai ni rafiki yake, na mimi hali hiyo maona sitaiweza kwakweli,

Ndugu zangu nifanyeje ili nimsahau kabisa

Ni njia gani watu hufanya ili kumiacha mtu ingali bado unmpenda?

Maana kuna mda najitahidi nisimpogie simu wala text lakini nnashindwa kumudu nampigia,

Akitaka tuonane anakuja kwangu tunaongea vizuri tu ila mimi moyo unataka kumuacha ila nimesgindwa

Mawazo yenu wadau
Ninachikona haujawa na uhakika asilimia 100% wa skendo ulizozisikia kwa yule mama kisha ukaanza kuzifatilia ,kuwa na marafiki wa kiume au wa kike it is just an interest,she is interested much with male friends, na usimhukumu kwa hilo ,mfatilie kwa ukaribu,but maamuzi ya kumwacha sio sahihi.utaishia kupwiyanga no body is perfect.
 
Ni rahisi sana. Kama kweli umethibitisha kwamba hajatulia basi unafanya kila uwezalo kuhakikisha anakupa kirusi(UKIMWI aka HIV+) ukishajua kuwa umeshauvagaa nakuhakikishia kamwe hutotamani kuonana nae wala kumtumia ujumbe wa simu
 
Unapenda unataka kumwacha

Hii tunaita kutupa wakati unahitaji

Unapaswa kufanya kitu kimoja kama sio viwili

Mwite ukae nae umuulize kwa kina na utulivu utapata majibu sahihi

Maana maneno ya kuambiwa yanakuwa na walakini mwingi
 
Hili liwe somo kwako;

Uache kujitoa sadaka kwa wanawake wa Tz. Utaishia pabaya sana.

Mpige chini mapema ili uumie na ujifunze.
Hakuna kampani za mwanamke na wanaume, mwisho wake huishia kuwa wapenzi na jamii humuona jumla ni malaya tu.
 
1. Usimuache subiri akuche yeye. Eee maana hakuna namna sasa, kama wewe huwezi kumuacha kwanini ujilazimishe kumuacha..
2. Tafta msichana mwingine kabla hujamuacha huyo ukishakuwa busy na mtu mwingine huyo utamuacha automatic tu.
3. Acha ujinga
Asante mkuu👏👏👏
Ila namba tatu hapo umeharibu
 
Kama una wivu achana nae..

Mi binafsi sipendi wanawake wenye shobo nyingi, napenda mwanamke mwenye mipaka sababu najua wanaume tumezidiana uwezo wa kumdanganya mwanamke....

Mwanamke akinizoea Nina uwezo wa kuamua nimgonge au nimuache why bcoz najua namna ya kucheza mind games na mwanamke, nimefanya hivo sana nimelala na wanawake ambao najua kabisa huyu hanipendi ila mi napita nae halafu badae akijua sipo serious mi zamani sana nishasepa.

Wanawake wanaozoea wanaume Ni wajanja Sana hivo basi wanatembea na wanaume decent au wanaume wajanja zaidi yao,kwahili ndo utasikia wanaitwa sio malaya.
 
Ndugu zangu natumai mu wazima,
Nimekua kwenye uhusiano na binti flani, kiukweli huyu binti nimempenda mapenzi ya dhati , yani real love
Nimekua nae yeye peke yake tu yani kipindi chote nimempenda yeye tu bila kuchepuka,
Nimempenda sana kiukweli hata na yeye alijua kua nampenda sana na niko nae yeye pekee,
Sasa nilipata maneno kutoka kwa mama mmoja, aliniita na kunieleza kwamba binti huyo si mzuri wa tabia, kwamba ni malaya,
Kiukweli nilianza kufuatilia mienendo ya binti inaonekana kampani yake kubwa ni wanaume, nikamuuliza kwanini akanijibu eti yeye anapenda sana kampani ya wanaume kwakua hawana majungu kama wanawake,
Binti mwenyewe yuko kwa wazazi wake na amehitimu mwaka jana stashahada ya statistics
Kiukweli mimi ninampenda sana lakini najifikiria kumuacha,
Wakuu nisaidieni njia nifanyeje ili nimsahau kabisa, kwani nahitaji kumuacha ingali bado nampenda,
Nataka kumuacha kwakua nimehisi atanisumbua na stress siki za usoni,
Maana.kila nikimkuta na mwanaume anadai ni rafiki yake, na mimi hali hiyo naona sitaiweza kwakweli,
Ndugu zangu nifanyeje ili nimsahau kabisa
Ni njia gani watu hufanya ili kumiacha mtu ingali bado unmpenda?
Maana kuna mda najitahidi nisimpigie simu wala text lakini nnashindwa kumudu nampigia,
Akitaka tuonane anakuja kwangu tunaongea vizuri tu ila mimi moyo unataka kumuacha ila nimeshindwa
Mawazo yenu wadau
Uje nikufanyie kombe utakunywa siku saba, na utaoga vile vile nitakutengezea mafusho. Kwa kifupi kijana una maradhi ya kupenda. Uko njia panda hutaki wataka
 
Ninachikona haujawa na uhakika asilimia 100% wa skendo ulizozisikia kwa yule mama kisha ukaanza kuzifatilia ,kuwa na marafiki wa kiume au wa kike it is just an interest,she is interested much with male friends, na usimhukumu kwa hilo ,mfatilie kwa ukaribu,but maamuzi ya kumwacha sio sahihi.utaishia kupwiyanga no body is perfect.
Unapokuwa kwenye mahusiano kuna vtu unatakiwa uviache regardless of interest
 
Hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume hapo lazima kuna mtu atakuwa anamtindua we cha msingi mwambie upendi kampani na wanaume kama ataki piga chini futa no
 
Nadhani tumeelewana
FB_IMG_1553095176102.jpeg
 
1. Usimuache subiri akuche yeye. Eee maana hakuna namna sasa, kama wewe huwezi kumuacha kwanini ujilazimishe kumuacha..

2. Tafta msichana mwingine kabla hujamuacha huyo ukishakuwa busy na mtu mwingine huyo utamuacha automatic tu.

3. Acha ujinga
Na mimi nakazia
"Acha ujinga"
 
Demu keshakuona wewe ni kichwa maji yani hata akigongwa mbele yako bado utampenda tu that why she take you for granted

ngoja nikushauri rafiki, "Sio sheria wala sehemu yoyote imeandikwa ni lazima tuwe na tunaowapenda, kumbuka nao kuna watu wanaowapenda au wanaowatesa kimapenzi kama anavyokutesa wewe"

The only way to get someone attention is to stop give them yours, kama umeona maji yamefika shingoni jitahidi tu umuache hamna namna futa namba, usimtafute usimpigie simu, futa meseji futa picha cancel connection zote, sio kwamba huwezi sema tatizo hujaamua au unajionea huruma

Amua, tekeleza then jichanganye na watu, usikae peke yako, ukiona vipi kua bize na kazi, mazoezi ili uuchoshe mwili hata ukiwa alone usingizi huu hapa unalala,, mimi pia nimeweza mpaka sasa Im free from pain, hope na wewe utaweza

hizi quotes zilinisaidia sana huenda nawe zitakusaida

* Know your worth.
* Sometimes not getting what you
want is a stroke kind of luck.
* Not every loss is a loss.
* It's you versus you
* Don't waste your time watering a
dead plant.
* Don't force connection when its
over leave, its called self respect.
 
Back
Top Bottom