Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF. Poleni kwa msiba na mvua kwa ujumla. Wadau shule na exposure ya maisha zimetubadilisha wengi katika njanja nyingi za maisha. 1. Wanaume wengi wameacha au kupunguza kuwapiga...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani hili limenitokea Mimi binafsi, iwe kazini kwako jirani yako, au mwanamke yeyote. Ukiona anakuchukia sana ujue anakupenda! That's why unakuta anakufuatilia sana, Hata humu jamvini...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Message…habari wakuu nimerudi.tena.kwa.upande wa.mahusiano.nimeitimisha.naona.hayapo.kwa.ajili yangu.lakini.kuwa.mama.ni.baraka.hivyo.natafuta mbaba.mkaka.anaeishi na watt...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, naishi mkoa wa Dar es Salaam. Nakuja hapa kwa mara ya kwanza, Natafuta/Nahitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 21 mpaka 25 ambaye yupo tayari tuwe...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nilikutana na huyu dada kipindi nimemaliza chuo, sikua nikimpenda tangu mwanzo kwani nilijua kabisa si mtu wa hadhi yangu. Lakini kwakua nilikua na shida na nilimuona kama mtoaji niliamua...
22 Reactions
161 Replies
18K Views
Habari zenu GT! Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni Mwanachama wa chaputa mtiifu sana kwani sijaweza kukiacha chama changu.Sasa tatizo linalo nipata saa hizi ni kwamba nikiwa najipa utamu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu je wajuwa nyumba yeyote Ile za warabu lazma wawe Na zezeta umoja ndani ?? I mean wale warabu matajiri labda nyumba za warabu masikini ndo hawana zezeta kwenye familia ...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wapendwa mimi ni mgeni humu nakatika sifa zenu nyingi. Nimeona nijaribu kutafuta bahati yangu. Mimi ni mwanadada mwenye umri kuanzia 26-28 ni mlutherani. Nimhitimu katika chuo cha veta. Tofauti na...
5 Reactions
124 Replies
18K Views
Natafuta mume, mkristo29-35
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Naandika huu Uzi nikiwa moja kati ya watu wenye experience na mkoa wa kagera. Kwa Mara ya kwanza nilifika mkoa wa kagera mwaka 2015. Wanawake(wahaya) sio watu wa mchezo kwenye kuanza mahusiano...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Nahitaji danga Call +255 65 876 6140 or 0766 225 904 kwa maelewano Usipige wala kunitafuta kama huna hela Moods msifute uzi huu pls nashida ya hela ndo maana
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Mwanamke kujiamini bla bla za nin? Jiamini Na Jikubali Hivyo Hivyo Ulivyo; ujiambie wewe kuwa ni mzuri na unaweza kupata aina ya mwanaume yeyote ile unayemtaka. Kujiamini ni kitu chamuhimu sana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu,nmeipata video ile ndefu kabsaa ile,kwakwel mim kwa uzoefu wangu ,africa na Tz hakuna mtu mwenye jeur et afanye editing kitu kama ile.kiukwel wanaoamin ni editing siwalaum,tunatofautina...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Maneno ya Mungu kama ilivoandikwa katika kitabu cha wakorinto. 1 Corinthians 12:14-26 [14]Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi. [15]Mguu ukisema, Kwa kuwa mimi si mkono...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Romantic Sex ikipatikana mara kwa mara au kwa hurahisi kwa mwanamke na kuwa na ndoa yenye furaha, humfanya kuwa perfect zaidi. Ukiona mwanamke anafanya kazi kwa moyo wote, kazi nzuri, inayopendwa...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Amani ya Bwana iwe nanyi.. Nakumbuka ilikuwa ni mwaka Jana, miezi ya mwanzoni kabisa, niko zangu Page ya EaTV Facebook, nikitoa maoni yangu km ilivyo desturi yangu.. Moja ya reply yenye kukwaza...
13 Reactions
40 Replies
4K Views
upo kwenye mausiano na msichana na unampenda sana, baada ya wiki 3 kwny mauxiano, unagundua kua kwenye mkono wa kushoto ameweka vizuia mimba yaan "vinjiti" utachukua a2a gan....?!?
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Wadau ni hivi wanaume wamekuwa wanapenda sana kutunzwa hadi wanaweka post zakuwaonyesha wao ni marioo sasa hawafichii. Napia hawana usemi wowote maana kila kitu cha manzi halafu hamna aibu mnajaza...
2 Reactions
79 Replies
6K Views
Back
Top Bottom