ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,865
- 60,863
Kama unajua na wewe una video uliyejirekodi Kama gwajima Basi ifute kwa sababu serikalini tukiagizwa tukufanyie uchunguzi tunakagua nyumba yako,chumba chako mpaka simu yako.tunanyonya kila kitu Sasa ikija kuvuja ujue Kuwa inawezekana
1.kuna ofisa wa serikali kaichukua na bahati mbaya imevuja kupitia yeye
2.au tumeamua tu kuleta stori kwa wanajamii ili tuwadhihirishie uovu wako na waujue unafki wako serikalini tunajua kila kitu mpaka usivyofikiri.