Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau eti wanasema humu mimi katoto kazuri nawadharau watu wazima. Sasa mpaka miaka mingapi humu wapo watu wazima wanaodai wanadharauliwa? Nautadharauliwaje kama nawewe kichwa hakisomi...
3 Reactions
73 Replies
5K Views
Salaam wakuu, habari za jioni. Nimekaa nikatafakari nikaona nilete kisa changu hapa jukwaani ili tuwe makini na binadamu, japo mimi nimebaki sina mtoto tena, itawafaa hata wazazi wengine wenye...
27 Reactions
115 Replies
10K Views
Habari zenu wana jf Leo nimeamua kushare na nyie kitu nilichofanyia utafiti kwa muda mrefu. kitu chenyewe ni kuhusu wanawake wengi wa kihindi kuto kata vuzi,kwanza nilitembelea website kadhaa za...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
😥😥😥😥😥😥
3 Reactions
166 Replies
15K Views
Kufuatia suala la nguvu za kiume kuwa jambo kubwa hadi kutinga mjengoni kwa waheshimiwa, pia vyombo mbalimbali duniani vya habari yakiwemo mashirika ya BBC na DEUTSCHE WELLE yanaripoti kuwa...
11 Reactions
194 Replies
14K Views
Kwamba…. Atakuwa anakuchangamkia sana Atakuwa anawasiliana nawe mno ama kwa Kuchati au Simu Atakuwa nae anakuonyesha dalili zote kuwa anakuhitaji Kingono Siku hiyo japo ukimuomba hatokupa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Maalumu kwenu kina mama, haijalishi ni single mom au uko kwenye ndoa, haijalishi mtoto uliyenaye ni mzima, anaumwa au alliishatangulia, haijalishi mtoto/watoto umewapata kwa njia gani, wewe si wa...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Hakuna SMS wanaume wanafuhia sana kama ile "BBY PIGA UONGEE NA BODABODA UMUELEKEZE"[emoji23][emoji23][emoji23] em twambie wewe boy hii kitu huwa kweli au sikweli?
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Yule mpenzi wako ambaye ulikuwa unaongea naye Kwa sim hadi sa nane usiku till betri la sim lanahit hadi linataka kuripuka yupo wapi ???
3 Reactions
109 Replies
8K Views
Haijalishi una umri gani lakini muda mwafaka wa msichana kuolewa ni kati ya miaka 20 hadi 25 Achana na dhana potofu za kimapenzi eti sijui hawajui nini? Faida zake ni kama zifuatazo 1. Ndio...
7 Reactions
51 Replies
8K Views
Unaikumbukaje ile siku uliyoachwa na mpenzi wako umpendae? Kwangu ilikuwa kama utani nilitumiwa Sms mida ya saa tano usiku kwamba Zero mimi na wewe basi sitaki tena tuwe wapenzi nilishapata mtu...
8 Reactions
85 Replies
8K Views
Kama hauna sababu ya kuoa basi hakuna haja ya kuwa na mpenzi na kumuhudumia kwa sababu kuhudumia Mpenzi ni gharama kuliko kwenda kununua huduma kila unapoitaji, Ukiwa na mpenzi atataka kula...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Kumekuwa na Matangazo mengi juu ya kuwepo kwa dawa ya kuongeza urefu na kunenepesha maumbile ya siri ya wanaume. Pindi ukisikia au kuona matangazo haya inabidi uyapuuzie. Hakuna Mwanamke mwenye...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Habar za j pili wakuu...naanza hivi Kama huwez kumuacha mumeo au mkeo basi usimchunguze CMU yake Leo siku ya Tatu mke wa jirani yangu anaishi kwa sononeko moyoni....ishu ilikuwa hivi alichukuwa...
2 Reactions
9 Replies
927 Views
Ni swali nimeulizwa na Kijana mmoja hapa mtaani asubuhi hii.. ila nilivyo mwangalia alikua anatia huruma. Ni kijana mzuri , mpole, mchapakazi anaejali watu wote. Alivyo niuliza swali hilo kwa...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Wanabodi habar za jumapili Kuna topic hio leo wadau naombeni majibu hivi ni kweli usipotembea na wanawake tofauti tofauti kabla ya ndoa, bila fanya hivi utateseka sana kwenye ndoa,Kwasababu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau nimekaa sehemu nikawa naenjoy life lkn kuna namna nliyokuwa naona maisha ya binadamu mwenzangu nikashihudia wake za watu wakiwa na michepuko yao, pia nikaona Wababa wakiwa na michepuko yao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
......Siyo Kila Mwanamke Unayeanzisha Naye Mahusiano Unaweza KUOA.
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi mwanaume unapopishana na mwanamke mzuri wa sura na umbo unawaza nini kichwani mwako? Kugeukageuka na kukonyezana na wenzio kuaashiria nini?
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama kichwa husika apo juu..... Katika pita pita zangu nilikutana na dada mmoja ambae tulielewana sana.......kama tulivyo binadamu tukaanza kubadilishana mawazo ya hapa na pale..... Ikafika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom