Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu salaam. Katika pitapita zangu leo kwenye mitandao ya kijamii, asilimia kubwa ya watu waliotuma ujumbe wa "Happy Mother's Day" ni jinsia ya kike. Je hii inadhihirisha kuwa watoto wa kike...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Huwa najiuliza,sipati jibu kabisa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inakuaje unakosa nguvu za kiume au umerogwa,Mimi hapa sijafanya mazoezi mwaka wa nne huu,navuta Sana sigara pakiti moja kila siku na ganja nyingi,pombe siku moja moja( mimi na pombe Ni vitu viwili...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF? Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu. Nimeamua kutafuta mke ili niachane na maisha ya ubachela(Senior bachelor). Sifa za mke ambaye Napenda niwe nawe ni kama ifuatavyo:-...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Mimi natatizika sana na haya maneno au labda yote hapo sawa..bila MTU akitamka au nkilisoma katika ujumbe Mfano utasikia "nipo njiani kwa gari nakuja" Mimi kwa upande wangu hilo sio sawa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajf, Natafuta mchumba wakike, Mm nikijana mfanyabishara hvyo natafuta mchumba awe mfanyabishara pia au muajiliwa serikalin Sifa zingine ni Kama ifuatavyo 1.umri usizidi miaka 26 2.Awe...
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Igweeeeeeee Wanazengo!!!!!! Jioni hii kulikuwa na shida sana ya usafiri. Wakati nimetoka kazini pale posta mpya kulikuwa na idadi kubwa sana ya watu wakingoja magari. Nikaamua kuto kusubiria...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za usiku wanajamvi, Straight to the matter at hand........ Sio sawa kabisa kuingia katika mahusiano na mtu na kumfanya atengeneze hisia za kukupenda wewe, kumfanya mtu aamini kuwa wewe...
1 Reactions
0 Replies
954 Views
Mwanamke akikupenda, lazima atakuvumilia kwa kila jambo, hadi kwa mambo yako yasiyofaa, yanayomkera, yanayomuumiza na kumtesa kihisia. Kutokana na ufinyu wako wa akili, utaendelea kumtesa na...
6 Reactions
27 Replies
6K Views
Wizkid I can never love one woman – Wizkid discloses My Geography teacher once told me that “an African man is born to polygamous, not until the Whites came with their ‘lies’ that we can only...
6 Reactions
204 Replies
13K Views
Kwamba.... Mpaka sasa Tanzania nzima kuna Malaya ( Wanawake wanaofanya Biashara ya Kuuza Miili yao ) wapatao 155,000 na kwamba kati ya hao Mkoa unaoongoza kuwa na Wanaume wanaopenda Kununua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
habarini za asubuhi JF members? jana nilikua napiga story na best angu mmoja kwa njia ya simu, akaniomba ushauri, yeye kamaliza chuo miaka mitatu iliyopita katika faani ya ualimu, lkn kulingana na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kabla sijamuoa mke wangu, nilimueleza udhaifu wangu wa kupenda tendo la ndoa kupita kiasi na alikubaliana na huo udhaifu wangu. Alikuwa ananipa unyumba kadri nitakavyo kulingana na huo udhaifu...
24 Reactions
208 Replies
28K Views
Wadau kama upo serious kupata mawazo ya kibiashara au kimaisha au wewe ni mshauri wa kibiashara na maisha nataka kuanzisha group hata humu jf watu wasaidiane au wasaidike kutokana na mashauri au...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Wadau bila shaka hamjambo ! Kitaaluma mimi ni mwanasaikolojia (Degree) jina langu sio kubwa sana kwa maana ya kujulikana kwa watu wengi licha ya kufanya kazi hii kwa miaka 3 sasa. Tatizo kubwa...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Umemzalisha mpangaji wako mtoto mmoja au wawili,na baada ya kumzalisha ukaamua kumsamehe kodi ya nyumba akawa anaishi tu bure,je ikitokea mzalishaji umevuta pumzi ya mwisho, mzalishwaji atakuwa na...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
  • Closed
Habari wanajf na heri ya pasaka. Niende kwenye lengo la uzi...mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miezi 7 nina miaka 26. Miezi 3 iliyopita nilitengena na mzazi mwenzangu ambaye alishanitolea mahari...
7 Reactions
247 Replies
19K Views
Kama Mada inavyojieleza Kuna binti alikua anadate na kakangu miaka ya 2003 mpaka kwenye 2006 hivi. Ina maana huyu binti alikua shemeji yangu na alitakiwa anitambue kama Mimi ni shemeji yake...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Inaumiza na kufunza. Nmekopy kwenye group moja la WhatsApp “Baba Karanga za Diamond! Baba nataka Karanga za Diamond!” Huu ni ule wakati ambao unasimama kwenye foleni na unatamani hata...
39 Reactions
107 Replies
11K Views
kikubwa siyo watu wote wanafaa kuwa marafiki hasa hasa unaodhania ama kuwachukulia kuwa ni watu wenye kujua maana ya maisha!! kikubwa siyo watu wote wnafaa kuwa marafiki wengine ni wanafiki na...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom