Leo insta haijajafuka sana naona wambea wengi bado wanaomboleza na wengine wako kwenye Mfungo,
Baba Askofu gwaj ashukuru sana huu msiba wa taifa na hii Ramadhani la sivyo........!
Cc Zero iQ
Ni binti flani hivi wa kiislam kwa sasa amefunga lakini amenitafuta anasema jioni anataka nikamdinye baada ya kufuturu,
Nilikuwa na muda sijakutana nae kwa sababu ya ubusy wa shughuli na ratiba...
Mambo zenu.
Unajua nimekaa nikawaza sana kwanini yanatokea haya unajenga feelings kwa mtu hamjaonana na kweli unamadai kuwa unamwanaume ukiulizwa umewahi muona nope .
Ila tunachatigi how jamani...
Wakuu hii imekaaje,sitosema nilipo maana inawezekana mhusika akawa humu,
Kisa ni kwamba kuna dada mmoja wa kitaa,huwaga ananata sana kama super glue,naye yamemkuta,kuna mwana alimuotea akaahidi...
Shosti yangu alimpata mshikaji mmoja sharobaro. Yule mkaka kiukweli ana muonekano, hata ukipita nae barabarani kweli unaonekana una mpenzi.
Shosti yangu alimbania penzi muda mrefu lakini baadae...
Nimedhamiria kwa dhati, natafuta mke wa kuoa na kuishi naye.
Naitwa Hensley nina umri wa miaka 46, rangi yangu maji ya kunde, ni mnene kidogo, mrefu wastani, elimu yangu shahada Ua uzamivu, ni...
"Habari Wakuu,
Kama mjuavyo jinsi maisha yalivyo magumu kwa sasa huku mtaani, lazima akili na maarifa yaongezeke.
Nilimaliza chuo tangu 2015 ila mpaka sasa sijabahatika kupata kazi ya kueleweka...
Imekua ni kawaida kabisa kwa sisi waafrika hasa sisi watanzaniano kwamba mtu anapotaka kuoa ai kuolewa lazima atembeze bakuli ili kifanikisha shughuli yake.
Je wenzetu wazungu nao wana utaratibu...
Mliowahi ku-date/kuoa/kuolewa na wazungu let's share changamoto mlizokutana nazo.
Changamoto zao ni kama za partners weusi ama wao wana afadhali kidogo?
MREJESHO!!!!
Wadau Nashukuru sana kwa maombi yenu...jana Alhamisi jioni jamaa alimtumia hela mkewe laki mbili ili aache kwao na nyingine afanye nauli...amewatumia laki moja ili kuwaziba mdomo...
wakuu shikamoon?
hivi, nyie mliioa, mmewezaje wezaje kuachana complete na wanawake wenu wengine wa zamani?maana napata wakati mgumu sana kuanza kuwapotezea wanawake wangu wa zamani.
habari wadau..
kwa seke seke la msiba wa mengi.. nimeamini ule msemo adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.
mitandaoni ni drama tupu.. zikianzia kwa dada Mange wa majuu.. na hizi drama wanawake...
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya Jumamosi mwaka 2015 siku ambayo niliamua kuachana na mtu niliependana nae kwa Dhati kabisaa huku nikijiapia nitakuwa Play boy milele na kamwe sitapenda kama...
Habar za asubuh wapendwa. Mi sio mwenyeji kwenye hili janvi ila nimekuwa msomaji mzuri wa post na comments za wadau. Nimeona kwa kipindi kirefu watu wanasifia sana zinaa nikataka kujua kupitia...
Kuna ladies nyuzi za natafuta mpenzi huwakosi kabisa.
Ndoa jaman ndoa,,,
Mambo yamebadilika sana, mfanye
Wosia/ misemo, iyanze kutengenezwa jaman kwa mabinti wanao balehe,
Mabibi mnafall...
Habari wana JF.
Poleni kwa msiba na mvua kwa ujumla.
Wadau shule na exposure ya maisha zimetubadilisha wengi katika njanja nyingi za maisha.
1. Wanaume wengi wameacha au kupunguza kuwapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.