Nilichojifunza kwa baba Askofu

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
3,161
2,000
Nipo hapa naihariri cinema ya mzeebaba

Mzee ananidhamu sana kunako six by six

Yaani ile neno "thank you" kalirudia kama mara kadhaa hahaa

Ila katuangusha wanaume yaani bao moja ndani ya dakika 1 na sekunde 20 daah hapa namkataa

Wanaume jioni ya leo tukutane kwenye kikao tukubaliane Gwajistyle iwe ya kufungulia dimba au ya kufungia dimba

Karibuni Ufufuo na Uzima jumapili.
 

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
3,904
2,000
Alafu yule dada hata hajitumi kabisa yani kalala kifo cha mende mzee baba ndio fundi wa kudungunyuka
 

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
3,161
2,000
Hayo sijui
Nikimtazama huyo mnae mwita Askofu inaonesha wazi hana uungu ndani yake

Matendo yake na jinsi anavyoishi na watu inaprove beyond the dought kwamba jamaa ni msanii tu na anatumia dini kama chombo cha kujipatia fedha

Mtu wa Mungu hupaswi kuwa mtu wa 'Visasi' na kuhubiri vita vya 'damu na nyama' huyu yupo tofauti kabisaaaa

Na kwa hili Mungu kaamua kumweka wazi kabisa
 

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
5,321
2,000
Amekanusha hadi kiganja chake cha mkono wa kulia akakiita ni cha baunsa.
Akasahau mistari ya kwenye kiganja chake kuwa ilionekana alipokuwa anaiseti simu irekodi vizuri.
Hivi kweli inawezekana,
Kiganja cha mkono kiwe cha baunsa, ila mistari ya kiganjani iwe ya kwake ?
 

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
5,321
2,000
Hapana nakataa, kama ndo hivyo asinge kuwa anahaha kujisafisha
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.
Kesha udhalilisha Ukristo tayari, lengo limetimia.
Mengine ni hangaisha bwege to kama hujui.
Huko kwa Lorge keshapanda Cheo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom