Aslaam Aleikyum Ndugu zanguni....Natumai mko wazima kabisa....Direct to e' Point,,Ebwana wee kuna jimama flani apa Kijenge Juu Ni Mbulu/Mu'Iraq akiongea kama Katarina wa Karatu sijui ni...
Wana jf msaada.,
Mm ni msichana naomba ushauri na msaada wenu waungwana.mm nikishiriki tendo na mpenzi wangu naumia sana.Maumivu nimakali hvy nakua napaki na manyegenzi yng sina jinsi.
Kejeli...
1.Nguo za kubana
Mwanamke anaependa kuva nguo za kubana mno,na ambae anapenda kuonyesha maungo yake ya ndani,huyo ni kama moto wa petrol,hutaweza kumzima,atajizuia kidogo halafu atafungulia...
Unakuta mdada unamahusiano nae kukutana ni bar halafu unategemea ndoa hata hamjuani mnapokaa. Men ndio kazi yake kukutafuta hata mkiwa mmegombana hamna mda wa kumtafuta kusuruhisha.
Kukupigia au...
Dereva tex mmoja alinisimulia kuwa kuna tabia chafu ya watu wanaojikalisha kwenye reli mida ya usiku hasa maeneo ya Banana , Mombasa mpaka Gomz (na Ndani ya Magari yaliyopaki kiholela holela)...
Napenda kuwapa darasa ndugu zangu ambao wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni au mwakani nila kuangalia kama unaoa au unaolewa. Ndoa ni jambo zuri sana na hasa likiwa lina baraka za wazee wa...
Habari zenu humu ndani,bila shaka wote humu wazima.Mimi ni kijana mwenye umri 36,ni mfanyakazi wa taasisi ya uma.Ndoa yangu ilinishinda muda mrefu sana kutokana na makwazo ya wanawake...
Moja ya ukweli ambao lazima uukubali ni kuwa si kila mtu atakuwa na wewe Muda wote wa Maisha Yako. Kuna watu utakuwa nao karibu sana leo lakini utashangaa kesho mnapoteana, Kwa Nini...
Salaaam Sana. Ama baada ya Salam
Naomba kufahamishwa Jambo hili kwa anayefahamu.
Katika mikutano /ziara / hotuba za RAISI wetu wa Jamhuri ya muungano Kuna walinzi weengi ambao humzunguuka. Ila...
Leo sisi ni wazazi wa watoto wetu lakini jana tulikuwa watoto wa wazazi wetu. Tutafakari jana yetu na leo yao!
Kipi unaona wazazi wako walifanya kwako lakini wewe hufanyi kwa wanao au wanao...
Eeebanae!
Ni ukweli usiopingika, wanawake warembo, wengi wao wanapigwa na kuachwa tuu, au wanazalishwa na kuishia kua masingo mother.
Hii ni kwanini? Utakuta mtu anaoa mwanamke mpaka...
Dah! Napoteza mademu wengi kisa kupambana na maisha. Kila demu nayempoteza kisu na anatabia nzuri, nakata mausiano Mimi, sijui nimerogwa. Kila mission inakua impossible halafu w wansjilengesha...
Matukio ya wanandoa kuwaua wenzi wao au kuwafanyia ukatili wa kutisha, yanazidi kuongezeka. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na matukio mengi ya mume kumuua mke, mke kumuua mume au...
Nimeona msichana mmoja anasema ametembea na wake za watu.
Swali ninalo jiuliza.
Hayo mapenzi yanafanyiakaje wakati wote ni wanawake. Kwa maana kwamba wote wana papuchi (vipochi).
Ninavyo jua...
MIPANGO
Mwanaume anayekupenda atakushirikisha kwenye mipango yake hasa ya muda mrefu. Mfano akitaka kununua kiwanja, kujenga nyumba atakuambia na pengine kutaka mchango wako wa hali na mali...
Wadau kuna haka katabia ambako sikapendi kwa mpenzi wangu.
Mnaweza mkawa mnaongea kwenye simu, akapigiwa simu na rafiki yake akakuweka hold mpka amalize kuongea na rafiki yake
Au mnaweza mkawa mko...
Hakika baada ya drama alizoleta zari kwenye Mashindano ya Umiss kule uganda sasa naamini mwanamke anahitaji Ndoa sana kuliko Vyote... Kimsingi wanaume huwa tunatimiza ndoto za wanawake tunapofunga...
Niliwahi kuandika uzi wangu wa kutafuta mwenza humu ndani, katika wengi waliokuja nikabahatika kupata kijana mmoja aliyeukuna moyo wangu,nikaona nijaribu mahusiano naye sikutaka kujiachia mazima...
Wanaume wa siku hizi wamekuja na mbinu mpya ili aendelee kula mzigo kiulaini bila stress za hela
Wakishakutongoza,anaingiza ishu ya kukuoa,ili usiwe unamuomba hela mara kwa mara ,au ukimuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.