mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,966
Salaaam Sana. Ama baada ya Salam
Naomba kufahamishwa Jambo hili kwa anayefahamu.
Katika mikutano /ziara / hotuba za RAISI wetu wa Jamhuri ya muungano Kuna walinzi weengi ambao humzunguuka. Ila ambao ninataka kuwafahamu zaidi Ni hawa.
1. Mwanajeshi aliyemsimamia nyuma (nawewe umekaa Sana nyuma yangu unachangia ngapi?)
2. Mlinzi anayevaa kiraia (suti) anakaa upande wake wa kulia.
3. Wanajeshi ambao wanakuwa wamesimama na bunduki fupi fupi, Wana kombat za rangi Kama za nchi za mbali hivi ( TOFAUTI na zile za JWTZ)
Je? Ni kweli Hawa watu Ni MAKOMANDO?
Nilimuuliza mtu mmoja akasema kuwa Ni makomando Tena hatari Sana.
Je nikweli au nimedanganywa?
Kwa mwenye kujua tafadhali