Mjue mwanamke asie muaminifu kwa kumuangalia tu

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,410
6,067
1.Nguo za kubana
Mwanamke anaependa kuva nguo za kubana mno,na ambae anapenda kuonyesha maungo yake ya ndani,huyo ni kama moto wa petrol,hutaweza kumzima,atajizuia kidogo halafu atafungulia.

2.Kutoboa matundu mengi sikioni
Mwanamke yoyote anaependa kutoboa matundu zaidi ya moja (ya kuvalia hereni) ana silka ya kutokua muaminifu,hakuna direct link ya hiv vitu ila katika uchunguzi wangu nimebaini kuna uhusiano mkubwa sana wa vitu hivyo viwili.

3.Mnywa Pombe
Akipenda sana pombe,anakuwa mtumwa na hataweza tena kujicontrol,huyu kama hataweza kuacha muache yeye,utakuja kulia ukose wa kukufuta machozi.

4. Mfanya biashara za kusafiri
U
sijidanganye kwamba mwanamke anaefanya biashara za kusafiri ni muaminifu,sio kweli hata kidogo ni hatari kama bahari nyeusi,wao wanaangalia faida tu,mengine hufuata baadae.

5.Secretary hawa wengi sio waaminifu hasa ambao hawajaolewa.

6. Nguo fupi mno.

7. Wenye makalio makubwa mno.

8. Wanaofanya kazi za sales na promotions.

9. Mwenye kukesha kwenye mitandao ya kijamii karibia yote.
 
Binafsi natumiaga psychology na body language ya mwanamke kama anatongozeka au la. Kwanza namsalim anaweza akajibu poa au akawa mkali, naendeleza mazungumzo huku nikimsoma psychology yake. Pili ni body language na appearance, na niwe mkweli nikiona mwanamke kavaa nguo za kubana wala siumizagi kichwa, natongoza au nitatongoza tu.
Mleta uzi kwa kiasi kikubwa uko sahihi, kwenye nguo za kubana. Wengi wanaoonuesha maungo yao sio bure, wanakuita. Sio wote ila wengi kwa hiyo kama mwanamke wako anavaa nguo za kubana ujue kina mimi wa kuwatongoza hatukosi na ktk 10 angalau 3 watakula mzigo, hapo ni hamna uaminifu.
Sio kwamba wanaovaa za kawaida hawatongozeki, wanatongozeka ila unahitaji kuwasoma zaidi.
 
Uongo mtupu huo nimetoka matundu mawili ya sikio na siku nikipata first born natoka kishimo cha. Tatu. Always hupenda long dress zakibana skirt na suruali na ni mwaminifu. Do not judge the book by its cover judge what is inside. Tatizo wanaume mnafikiriaga wanawake tinavaaga kuwatega hyo ni wrong assumptions mlizo nazo. Wengi huvaa kwa kujisikia tu msiishi kwa kukariri
 
Utatoga sikio moja mara tatu? phew...
 
1.Nguo za Kubana
Mwanamke anaependa kuva nguo za kubana mno,na ambae anapenda kuonyesha maungo yake ya ndani,huyo ni kama moto wa petrol,hutaweza kumzima,atajizuia kidogo halafu atafungulia.
2.Kutoboa matundu mengi Sikioni
Mwanamke yoyote anaependa kutoboa matundu zaidi ya moja (ya kuvalia hereni) ana silka ya kutokua muaminifu,hakuna direct link ya hv vitu ila katika uchunguzi wangu nimebaini kuna uhusiano mkubwa sana wa vitu hivyo viwili.
3.Mnywa Pombe
akipenda sana pombe,anakua mtumwa na hataweza tena kujicontrol,huyu kama hataweza kuacha muache yeye,utakuja kulia ukose wa kukufuta machozi.
4. Mfanya biashara za kusafiri
usijidanganye kwamba mwanamke anaefanya biashara za kusafiri ni muaminifu,sio kweli hata
kidogo ni hatari kama bahari nyeusi,wao wanaangalia faida tu,mengine hufuata baadae.
5. Secretary
hii namba 5 naipinga kwa niaba ya Jimena
 
Back
Top Bottom