Ukisikia' Nitakuoa kumbe anakwepa matumizi

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Wanaume wa siku hizi wamekuja na mbinu mpya ili aendelee kula mzigo kiulaini bila stress za hela

Wakishakutongoza,anaingiza ishu ya kukuoa,ili usiwe unamuomba hela mara kwa mara ,au ukimuomba akikwambia hana inakuwa ngumu kumuacha mwanaume kwa kutegemea mbeleni kuna ndoa kumbe siyo plan yao,utasubiri sana

Mwingine ukishatembea naye anaingjza swaga za kukuoa ili ajihakikishie umiliki na pia upunguze kiherere cha kuomba hela

Kumbe lengo akwepe matumizi sio kuoa

Wanawake shtukeni
 
Watakaoshtuka ni wanawake malaya ambao kwai hiyo ni kazi. Usiwazibie wenzio wanaotaka kuolewa rizk
Wanaume wa siku hizi wamekuja na mbinu mpya ili aendelee kula mzigo kiulaini bila stress za hela

Wakishakutongoza,anaingiza ishu ya kukuoa,ili usiwe unamuomba hela mara kwa mara ,au ukimuomba akikwambia hana inakuwa ngumu kumuacha mwanaume kwa kutegemea mbeleni kuna ndoa kumbe siyo plan yao,utasubiri sana

Mwingine ukishatembea naye anaingjza swaga za kukuoa ili ajihakikishie umiliki na pia upunguze kiherere cha kuomba hela

Kumbe lengo akwepe matumizi sio kuoa

Wanawake shtukeni
 
Wanaume wa siku hizi wamekuja na mbinu mpya ili aendelee kula mzigo kiulaini bila stress za hela

Wakishakutongoza,anaingiza ishu ya kukuoa,ili usiwe unamuomba hela mara kwa mara ,au ukimuomba akikwambia hana inakuwa ngumu kumuacha mwanaume kwa kutegemea mbeleni kuna ndoa kumbe siyo plan yao,utasubiri sana

Mwingine ukishatembea naye anaingjza swaga za kukuoa ili ajihakikishie umiliki na pia upunguze kiherere cha kuomba hela

Kumbe lengo akwepe matumizi sio kuoa

Wanawake shtukeni
Bila connection utashindwa kuwajua wakweli
 
Tufanyaje sasa kama umetutangazia maisha mema mbeleni
muendeleze upendo...si unajua kuwa mmea ukipandwa unatakiwa umwagiliwe....uwekewe mbolea na upaliliwe...ata kwenye mahusiano ni kama mbegu usipoipalilia na kuihudumia vyema lazima itakufa tu...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom