Ni sawa kipind hichi cha maisha wanaume nao wana ile tabia ya kutaka mwanamke ambaye kimsingi nae ni mchakarikaji ili msaidie ilo ni sawa, ila mambo kama yamebadilika wanaume wamekua wavivu...
​​Kama kuna mtaalamu wa maswala ya mapenzi na ndoa naomba anisaidie.
Je nini siri ya mafanikio katika ndoa wakati mke hupenda pia wanawake?.
Kwa ufupi:
Nimekuwa katika mahusiano...
Kwani kuna ubaya gani kufanya kitu upendacho baada ya kitimiza kazi uliyopewa na boss wako kwa 100%.. Kuview adults material kazini ichukuliwe kama hobby tu ya mtu kama vile kucheza games.
Ni hivi, ni juzi nipo kijiwe flani nalewa na washkaji, ghafla nikampenda demu kumbe ndo bosi wa hiyo bar, ikabidi anipe namba kwamba tutaongea kesho, niende nikalale. Kumekucha nikamcheki nikaanza...
Hey wazee kama kichwa cha habari kinavyosema,
Nina hamu kweli ya Kutanua na totozi bomba wikiendi hii ila mwezi huu Mfuko wangu Umetoboka, Mpenda totoz mwenzangu anipe Sapot, Maisha ni kusaidiana...
Wakati upo darasa la kwanza ukifanya vizuri wanakuambia oooh subiri darasa la tatu ndio hesabu zinakuwa ngumu, ukifika darasa la tatu unaambiwa darasa nne kuna mtihani wa taifa kuvuka ni issue...
Classical Women wako poa sana, Ila wengi ni wafia dini na hakawii kukubania papuchi ila akaenda kumpa Baba Mchungaji wake. Pia wanapenda sana kushinda Church. Pesa zao nyingi huwa zinaishia...
Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji mwanamke aje kuwa mke wangu wa maisha mwenye hali kama yangu.
*Sifa zangu ni..
1. Mwajiriwa na nimejiajiri ili kuongeza kujikimu zaidi.
2. Mrefu wa...
Eti wakuu kuna jambo linanitatiza sana, hivi hawa wazee wetu waliwezaje kujenga hizo nyumba,
Maana mimi kila nikipata pesa Naishia kukutana na watoto wakali.
Cc Zero IQ
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum...
hellow wana MMU! salam! asanteni kwa michango yenu ambayo kiukweli kuna zinazofunza kufurahisha na kutoa changamoto!
.
.
kuna hili swala kidogo linanitatiza "mfundishe / mrekebishe" mpenzi wako...
Nawasalimuu wakuu..
Desturi ya kuwasubiri wana ndoa nje ya mlango kufanywa na
mtu anayeitwa kungwi. Na bi harusi huwekewa kitambaa cheupe
anapoingiliana na mumewe kwa mara ya kwanza ili matone...
Wasalaam, Ni matumaini yangu wote hamjambo na Mungu apewe sifa na utukufu maana vyote ni vyake.
Kuna kipindi nilileta uzi hapa kuomba ushauri, wengi walinishauri vizuri sana na kwa asilimia mia...
Amani kwenu wana jamvi na wapitaji.
Unakuta una mke ambaye hana hofu ya Mungu, kutwa nzima unashinda na presha eti unachitiwa, kweli? Kama hamuogopi Mungu atakuogopa wewe?
Mwingine unakuta...
Naona ule uzi wa kwanza umefutwa, basi ngoja niondoe habari za mizigo ibaki Happy it's already Weekend...
Natumai hii haina madhara kama ile iliyofutwa jana...
Yaani hii excitement sijui...
Mapenzi bila pesa ni kazi bure...tujaribu kutunza zile chenji chenji zinazobaki ili mwisho wa wiki tuwe tunatoka mara moja moja.Tutumie njia hii kutunza chenji zetu.....
mseee wangu, mimi ndimi.
eeebana juzi kati hapa nilikua na shemeji yenu mmoja hivi, nikaona nimpeleke kwenye nyumba ya mwanangu mmoja hivi maana kwangu kulikua na wageni, na mimi sio mpenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.