Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Wadau kuna haka katabia ambako sikapendi kwa mpenzi wangu.
Mnaweza mkawa mnaongea kwenye simu, akapigiwa simu na rafiki yake akakuweka hold mpka amalize kuongea na rafiki yake
Au mnaweza mkawa mko mahali mnaongea akatokea rafiki yake au mtu anamfahamu anakuhama hapo kwako anahamia kwa hyo mtu mwingine wanaongea mpka wamalize ndio arudi kwako