Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe anaweza kuongea kiingereza
4: Awe anajua kupika na msafi
5...
Nitaendelea kuyaweka wazi baadhi ya Mambo ambayo yanakera sana kwa wanawake ambao ni hopeless. Mimi nitasema ili wajifunze. Najua kuna watakaokwazika but later on they will thank me.
Kama unataka...
Huyu bi mkubwa Ana umri wa miaka 42,
Nilianza kujuana nae hapa kiwandani kwangu kwa sababu alikuwa anakuja kununua kiepe kila mara,
Kiukweli alikuwa ni mteja wangu wa kudumu kufikia atua ya kuwa...
Habar zenu wakuu, nimaimani wote mko na afya njema, wakuu kila mwanamke ninayekutananae mitaani na kumtongoza ni barmade hii nagundua baada ya siku tatu au nne baada ya kunikubalia, kuna wengine...
Habari za jumapili ndugu zangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Ndugu zangu nahitaji msichana yeyote atakaye kuwa tiyari kunizalia mtoto kwa mkataba kuwa anipe huyo mtoto baada ya kufikisha miaka...
Wanaume mpo?!!! Huu uzi kwa ajil yetu sisi. Zama zmebadilika sasa. Ni marufuku kumpa pesa mwanamke ambaye huna malengo naye hayo ni matumizi mabaya ya pesa tena kwa kiwango cha lami ni bora hzo...
JE UNA MTOTO MWENYE KUPENDA KUNYONYA KIDOLE?
• Kunyonya kidole ni sehemu ya mtoto kujitafutia furaha na hamasa, kujibembeleza alale, kujipooza nafsi anapopitia kashkash
• Hali hii haina madhara...
Hivi ulishawahi kumuuliza mwenza wako au wewe ungependa nani awe role model wa mwenza wako? Mimi wife kaniambia angependa niwe kama Denzel washington yaani hapa nina mawazo na mimi namtafutia lake....
Kama Mwanaume utampenda Mwanamke Kwa Kigezo Cha Tabia basi Utaendelea Kumpenda Mwanamke Huyo Huyo Ila Kama Utampenda Kwa Kigezo cha Sura,Rangi ,shape,Makalio na Mengineo Basi Hata Upewe...
Wakuu heshima zenu bhana!! [emoji119][emoji119][emoji119]
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la...
Ukitaka kuoa unaangalia kipi kati ya hivi:
1. Uzuri wa sura na urembo,
2. Rangi ya ngozi kuwa nzuri au
3. Urefu wake au
4. Elimu yake au
5. Tabia yake ya kuwa mbabe kwa wanaume au
6. Jinsi anavyo...
Dem na jamaa waliachana almost kama miaka mi2 iliyopita
Kisa ni kwakuwa jamaa hakua na pesa plus pia dem inasemekana alimpata mtu mwingine
Baada ya break up jamaa alifanya juhudi kutafta pesa...
Kuna wanaosema kabisa kuwa wewe na mimi sasa basi, kuna wanaopiga matukio, kuna haya ya kutokupokea simu.
Shost alifikwa na la kuto kupokelewa simu, aliamini wakionana wataweka mambo sawa...
Habari za muda wakuu..
Niende kwenye mada;
Hivi kwanini mwanamke akichepuka inakuwa ngumu kwa mwanaume kusamehe tofauti na mwanaume akifumaniwa akichepuka? [emoji848]
Kwa kweli Dada zetu sijui Mnakwama wapi? kwamba hamna elimu ya uzazi, au mnakubali kudanganywa na kubebeshwa mimba ambazo mwisho wa siku mmakuja kutelekezwa na kusabisha watoto kukosa haki zao za...
Mambo vipi wazeeamama na wazeebaba,
Kuna dhana imejengeka sana kwa watu wengi haswa wanaopatikana mataifa yaliyopo matak..ni mwa dunia kuwa mwanamke anaependa umaskini na mwenye kuweza kuvumilia...
Kwa heshima na uadilifu najitokeza hapa kumtafuta mwanamke mwenye ugonjwa wa virusi vya maambukizi ya ukimwi kiukweli,ili awe mke wangu wa maisha yote!!Mimi ni mwanaume wa miaka kati ya 47 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.