Mwanamke pekee ndo ANAHITAJI NDOA

Mwanamke pekee ndo ANAHITAJI NDOA

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,170
Reaction score
43,972
Hakika baada ya drama alizoleta zari kwenye Mashindano ya Umiss kule uganda sasa naamini mwanamke anahitaji Ndoa sana kuliko Vyote... Kimsingi wanaume huwa tunatimiza ndoto za wanawake tunapofunga nao ndoa ila Mwanamke anahitaji sana ndoa hata kama Ana pesaa kiasi gani bado atahitaji tu Mwanaume wa kumuita Mumewe..! Zari kwa aliyoyafanya inaonesha Moyo wake unauma sanaa yani sana hasa akiwaangalia kia Tiffa na Nillan hakika Diamond alimpa Kovu kubwa sana japo anajidai jasiri kwamba kamove on ila ANUMIA SANAA YANI SANA.

Sema aliyomfanyia Ivan acha Karma amtafunee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HESHIMUNI SANA NDOA ZENU WANAWAKE.
tapatalk_1564310669439.jpeg
 
Kimsingi ulichoandika ni kweli

Lakini kwanini umeandika kuhusu zari na ndoa ila umezungushia huyo dada mwingine?
 
Ndoa ni heshima ndoa ni baraka haijalishi wa kike au wakiume
 
Huyo dada ndiyo yule waliyonyang'anyana tonge mdomoni na zari...

Mdada mwenywe yupo kimya hana hata mbwembwe wala kumsema sema mwenzake...

Cc: mahondaw
 
WANAWAKE HAWAHITAJI NDOA. WANAHITAJI "KUKUBALIKA" (APPRECIATION). Ndoa ni sehemu tu ya wao kujiona wanakubalika.Katika kulitafuta hili wengi huingia gharama kubwa,halali na haramu pia.
Hakika baada ya drama alizoleta zari kwenye Mashindano ya Umiss kule uganda sasa naamini mwanamke anahitaji Ndoa sana kuliko Vyote... Kimsingi wanaume huwa tunatimiza ndoto za wanawake tunapofunga nao ndoa ila Mwanamke anahitaji sana ndoa hata kama Ana pesaa kiasi gani bado atahitaji tu Mwanaume wa kumuita Mumewe..! Zari kwa aliyoyafanya inaonesha Moyo wake unauma sanaa yani sana hasa akiwaangalia kia Tiffa na Nillan hakika Diamond alimpa Kovu kubwa sana japo anajidai jasiri kwamba kamove on ila ANUMIA SANAA YANI SANA.

Sema aliyomfanyia Ivan acha Karma amtafunee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] HESHIMUNI SANA NDOA ZENU WANAWAKE.View attachment 1165466
 
Back
Top Bottom