Ukiwa unamtafuta mtu, say private message au ukifungua tu uzi na kukutana na ujumbe wa 'NO PERMISSION TO ACCESS' hua ina maaana gani, AU HUA NI UZI WA WATEULE WACHACHE?
Sisi wanaume Kama tunataka Wanawake waache kutuomba kile ambacho Baba zao wameshindwa kuwapa. Na sisi tuache kabisa kuwaomba kile ambacho mama zetu hawawezi kutupa.
Au sio.
Poleni na harakati za Ujenzi wa Familia na Taifa Wananzengo...Nawasalimu nyote.
Kama Mada inavyosomeka hapo, nimekuwa najiuliza swali hili. Kuna uhusiano gani kati ya Tohara na Nuksi? Ni dhana...
Wakuu; Ama hakika Mungu anajua kuumba... Naogopa kusema kuna watu
Amewapendelea lakini nisema tu kuna aliowapa zaidi kuliko wengine.
Nilikuja huku kijijini lushoto ndani ndani kumsindikiza Rafiki...
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe anaweza kuongea kiingereza
4: Awe anajua kupika na msafi
5...
Nitaendelea kuyaweka wazi baadhi ya Mambo ambayo yanakera sana kwa wanawake ambao ni hopeless. Mimi nitasema ili wajifunze. Najua kuna watakaokwazika but later on they will thank me.
Kama unataka...
Huyu bi mkubwa Ana umri wa miaka 42,
Nilianza kujuana nae hapa kiwandani kwangu kwa sababu alikuwa anakuja kununua kiepe kila mara,
Kiukweli alikuwa ni mteja wangu wa kudumu kufikia atua ya kuwa...
Habar zenu wakuu, nimaimani wote mko na afya njema, wakuu kila mwanamke ninayekutananae mitaani na kumtongoza ni barmade hii nagundua baada ya siku tatu au nne baada ya kunikubalia, kuna wengine...
Habari za jumapili ndugu zangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Ndugu zangu nahitaji msichana yeyote atakaye kuwa tiyari kunizalia mtoto kwa mkataba kuwa anipe huyo mtoto baada ya kufikisha miaka...
Wanaume mpo?!!! Huu uzi kwa ajil yetu sisi. Zama zmebadilika sasa. Ni marufuku kumpa pesa mwanamke ambaye huna malengo naye hayo ni matumizi mabaya ya pesa tena kwa kiwango cha lami ni bora hzo...
JE UNA MTOTO MWENYE KUPENDA KUNYONYA KIDOLE?
• Kunyonya kidole ni sehemu ya mtoto kujitafutia furaha na hamasa, kujibembeleza alale, kujipooza nafsi anapopitia kashkash
• Hali hii haina madhara...
Hivi ulishawahi kumuuliza mwenza wako au wewe ungependa nani awe role model wa mwenza wako? Mimi wife kaniambia angependa niwe kama Denzel washington yaani hapa nina mawazo na mimi namtafutia lake....
Kama Mwanaume utampenda Mwanamke Kwa Kigezo Cha Tabia basi Utaendelea Kumpenda Mwanamke Huyo Huyo Ila Kama Utampenda Kwa Kigezo cha Sura,Rangi ,shape,Makalio na Mengineo Basi Hata Upewe...
Wakuu heshima zenu bhana!! [emoji119][emoji119][emoji119]
Swala zima lililonipelekea kuandika uzi huu n msaada wenu wa kimawazo jamani kuhusu dem wangu huyu ambae hana a wala be kwenye swala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.