Naomba ufafanuzi.. mapenzi ya jinsi moja?

Naomba ufafanuzi.. mapenzi ya jinsi moja?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
Nimeona msichana mmoja anasema ametembea na wake za watu.

Swali ninalo jiuliza.

Hayo mapenzi yanafanyiakaje wakati wote ni wanawake. Kwa maana kwamba wote wana papuchi (vipochi).

Ninavyo jua mimi ili kufanya mapenzi lazima sehemu ya kiume iingie kwenye sehemu ya kike..

Sasa haya mapenzi ya wanawake watupu yanafanyikaje?

Kwa wanaume kwa wanaume hilo lipo wazi kwamba wanaweza badilisha mlango mmoja ukawa wa kike.

Hapa kwa wanawake kufanya mapenzi wao kwa wao sinapaelewa.

Naomba ufafanuzi.
1552650092752.jpeg
 
Mmhh ata mimi sijui... ila nahisi itakuwa wanatumia vidole au vibrator...
 
Itakua wanafanya improvisation. Ila huyo aliyekwambia ndio mwenye jibu sahihi, ungemuuliza vizuri alafu utuletee jibu.
 
Nimeona msichana mmoja anasema ametembea na wake za watu.

Swali ninalo jiuliza.

Hayo mapenzi yanafanyiakaje wakati wote ni wanawake. Kwa maana kwamba wote wana papuchi (vipochi).

Ninavyo jua mimi ili kufanya mapenzi lazima sehemu ya kiume iingie kwenye sehemu ya kike..

Sasa haya mapenzi ya wanawake watupu yanafanyikaje?

Kwa wanaume kwa wanaume hilo lipo wazi kwamba wanaweza badilisha mlango mmoja ukawa wa kike.

Hapa kwa wanawake kufanya mapenzi wao kwa wao sinapaelewa.

Naomba ufafanuzi.View attachment 1152289
Ungemuuliza huyo msichana aliwezaje kutembea na wake za watu
 
Tatizo la wajinga ndio hili.. unaulizwa jambo unajibu kingine..

Hapa tunaelimishana.. mbona wenzio wanajibu vizuri.?
Huwa mshanza kufanya halafu unakuja hapa unajidi kuuliza kama hujui kumbe unatfta wa kumsaga. Acha hiyo tabia ni dhambi mbaya...
 
Ilikuwa ni vigumu kuweza kusikia ' kwa sababu hapa kuwa na muingiliano mkubwa wa tamaduni ' pia hapa kuwa na kasi kubwa ya ujio wa network. . Imagine wa Kati sisi tuna Anza kuzitazama film za Bruce Lee mnamo miaka ya 86s kumbe huyo mtu alikuwa tayari ameisha kufa mwaka 1975..so tulikuwa tuko outdated sana '... Haya masuala ya Anal sex .lesbo. oral sex .Kama yalikuwa wepo katika jamii yetu yalikuwa Yana fanyika kwa u-siri mkubwa sana lakini tangu ilipo Kuja technology ya tv katika hizi nchi za Africa ndio balaa lika zidi kuongezeka -

Mbaya zaidi kasi ya ujaji wa watalii pia ndio ikazidi kuleta wimbi la mchanganyiko wa tamaduni ' apart from that usisahau kuwa kule visiwani tulitawaliwa na waarabu na huku bara tulitawaliwa na wazungu. ...hao wote ni watu ambao ni waumini wa hiyo michezo ''so tume jikuta tunapkea vinavyo stahiki na visivyo paswa kustahiki kwaajili ya sababu hizo tajwa hapo juu
Nadhani shetani yupo kazini kwa huu upuuzj.. eti hawana hisia na wanaume.. ivi hizi hisia zimeanza leo? Mbona zamani hatukuwahi kusikia
 
Back
Top Bottom