princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,063
Aslaam Aleikyum Ndugu zanguni....Natumai mko wazima kabisa....Direct to e' Point,,Ebwana wee kuna jimama flani apa Kijenge Juu Ni Mbulu/Mu'Iraq akiongea kama Katarina wa Karatu sijui ni nduguye!?Umri kama miaka 35 hivi linaishi pekeake tu,Navoskia mumewe alikua ni Tour guide so alipata mamilox ya kizungu fresh from Dernmark akampiga chini mkewe uyu Jimama alaf akateleza zake Lembe(Mbele/Marekani),,So uyu dingilii aliacha kamjengea mjengo na jax(pesa)za kushato tu Shugamamy,Jimama lina biashara za maana tu apa A Town,Picha linaanza Starring kauawa alaf kwenye maua!Anyways Jimama lilitokea kunipenda sana lilinikuta ofisini kwetu na machalii zangu tunachora na ku'print T-Shirts,Lilikua linataka tukaliandikie Bango la Lodge ake flani fas ya Townika kipindi icho nilikua likizo chuoni,Bas bhana lilinisound'isha nikalikubalia tuka'fall in luv each other,To be honesty linanisaidiaga kwenye mbanga zangu shazi kinyama zikienda Lonya,Sometimes Hadi ada hunilipia lenyewe especially semester2,,Sasa jana tukiwa Kitandani baada ya mechi nikalisubilia lianze Kunywa uji usingizini(Kusinzia na kukoroma)nikachukua Kitilili/phonenga(simu)yake nisome text zake,ile nimefungua tu kwenye sms Nikasikia linasema"Hakikisha Ukimaliza Unaenda Kulilia Nje Humu sitaki Kelele Nimechoka Sana Ntakubutua Mno"Daah niliishiwa Swagiree asee..!!
@ChaliiYaKijengeJuu.
@ChaliiYaKijengeJuu.