Ross za mademu kama jina langu

Ross za mademu kama jina langu

Ros tomas

Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
48
Reaction score
36
Dah! Napoteza mademu wengi kisa kupambana na maisha. Kila demu nayempoteza kisu na anatabia nzuri, nakata mausiano Mimi, sijui nimerogwa. Kila mission inakua impossible halafu w wansjilengesha wenyewe naogopa maisha ya3digits
 
Mwanangu najua huna tutafute pesa kwanza
 
icho kipindi ni kuwa mvumilivu kuna ata vumilia na ata ukimkwepa bado ataendelea kukutia moyo huyoo ndo atakuwa wife wako sasa.
 
Dah! Napoteza mademu wengi kisa kupambana na maisha. Kila demu nayempoteza kisu na anatabia nzuri, nakata mausiano Mimi, sijui nimerogwa. Kila mission inakua impossible halafu w wansjilengesha wenyewe naogopa maisha ya3digits
pole sana jipige vibao uanze tena kutafuta pesa, nani akuloge ?
 
Back
Top Bottom