Nikishiriki na mpenzi wangu naumia sana

Nikishiriki na mpenzi wangu naumia sana

Rene1

Member
Joined
May 25, 2019
Posts
47
Reaction score
43
Wana jf msaada.,

Mm ni msichana naomba ushauri na msaada wenu waungwana.mm nikishiriki tendo na mpenzi wangu naumia sana.Maumivu nimakali hvy nakua napaki na manyegenzi yng sina jinsi.

Kejeli sitaki.Asnt.
 
Nenda hospitali..ukapime

Or may be hakuandai ipasavyo
 
Wana jf msaada.,

Mm ni msichana naomba ushauri na msaada wenu waungwana.mm nikishiriki tendo na mpenzi wangu naumia sana.Maumivu nimakali hvy nakua napaki na manyegenzi yng sina jinsi.

Kejeli sitaki.Asnt.


Watoto wote wawili bado unajiita msichana?
 


Watoto wote wawili bado unajiita msichana?
Ngoja tushangae wote...Hawa wadada stress zitawauwa mwaka huu yaani wanaleta mada za ajabu Kila kukicha.
 
Umesema ukishiriki na mpenz wako unaumia sana, je umewahi kushiriki mechi zingine? Vipi ulienjoy au uliumia? Hapo tutajua kama ni suala maandalizi au varginosis ili tukupe ushauri
 


Watoto wote wawili bado unajiita msichana?

Ndio kwani kuna tatizo mkuu
 
Back
Top Bottom