Ros tomas
Member
- Dec 11, 2017
- 48
- 36
Unakuta mdada unamahusiano nae kukutana ni bar halafu unategemea ndoa hata hamjuani mnapokaa. Men ndio kazi yake kukutafuta hata mkiwa mmegombana hamna mda wa kumtafuta kusuruhisha.
Kukupigia au SMS mpaka awe na shida ndio anakutafuta kama hana utaisoma number dawa yenu hatuwaambii kamwe mue mnalia kila siku kuachwa. Papuchi zimejaa halafu unaleta maringo ukipigwa chini achukuliwe mwingine majungu yanaanza. Ukiona huwezi kukaa na MTU usimsumbue tens unapomuona na demu mwingine. Ugande kama barafu na usiyeyuke au jifanye ujaona😎😎😎😎😎😎😎😎😎