Wana jf habar zenu,
Kuna dada nilimkopesha laki5 daah nilishangaa nampa tu dada tumefahamiana week tu kakopa 500k cash nmempa bila kipingamizi. Alinambia baada ya week anarejesha sasa week ya3...
Kuna baadhi ya wanawake huwa wanadai kwamba hawawezi kufanya mapenzi kwa kutumia kondom sababu huwa zinawawasha.
Wengine huenda mbali zaidi na kusema kwamba huwa wanapata michubuko pindi...
Kuna kitendo cha ajabu sana kwa baadhi ya members humu JF.
Utakuta dume zima na mtu mzima kamisa humu ndani anatumia jina la kike na aneweka picha ya kike kama ndiyo utambulisho wake wa member wa...
Hi JF
naipenda sana JF
Basi Leo tupeane mbinu za jinsi ya kuwa na mwanamke wa kizungu unaempenda.
Swala la kumtongoza mwanamke inategemea na utamaduni wa sehemu husika unavyotumika lakini mimi...
Kama umeshagegedwa au umeshagegeda leo siku ya Eid na ulaaniwe sana.
Na kama umeweka appointment ya kugegeda au kugegedwa leo siku ya Eid na wewe pia laani isikukuse huko ulipo.
Hii haijalishi...
Hekima kutoka kwa mzee:
Vijana oaneni mapema
Ikiwezekana mzae mapema,kama huna athari za kiafya zaeni kuanzia 5 na kuendelea
Watoto wapewe misingi ya umoja na wasibaguane
Na ikiwezekana...
Habari za usiku
Kweli usilolijua ni usiku wa Giza
And when it rains it pours
Yamenikuta mwenzenu
Toka last week sina raha
Saivi nahangaikia passport niende zangu south ama Botswana
Kweli hujafa...
Kuna dada nilifahamiana nae kupitia rafiki angu ambae walikuwa wanajuana na wapo karibu kiasi, nilichukua namba kwa rafiki yangu nikawasiliana nae nakufanya appoitment ili anifahamu kwani hakuwahi...
Mnapambanaje na hiyo changomoto,akikuta 50,000 mfukoni anakwapua,akijua pin yako ya M pesa Tigo nk shida,ukimuweka kwenge genge auze tabu tupu,ukimuweka dukani balaa tupu,ukimpa hela akanunue 1 kg...
Baada ya kufungua akaunti hiyo feki, Mwanamke huyo alianza kuwasiliana na mpenzi wake na kumhoji maswali mbali mbali kuhusu maisha yake ya mahusiano
Katika hali iliyomshangaza Akosuah May ambaye...
Zamani kabla ya kuanza mapenzi niliambiwa kwamba kile kitobo cha mwanamke (papuchi) ni kidonda ndani yake kuna Moto, ukijaribu kuingiza ata kidole unaungua...
Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi huu kutokana kuona ndoa zao zinadumu kwa kiwango kikubwa kuliko kuachana.
pia madada wa kiarabu sio rahisi kucheat kuliko wa kiswahili.
naenda kuoa Zanzibar niko...
Naombeni ushauri
Nifanyeje mume wangu aniamini kama mwanzo?
Iko hivi:-
Mwanzo mwenzangu alikuwa ananishirikisha mambo yake. Ikifika mwisho wa mwezi ananiambia kimepatikana kadhaa tufanye...
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika...
Nimekuwa ninashangaa namna baadhi ya watu katika jamii wanavyoshikwa na butwaa pale wapenzi wao wanapofanya jambo ambalo hawakuwahi kulitazamia. Kuna matukio mengi, ya kushangaza yanayofanywa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.