Je, jamii ya wachaga inafanyia wanawake ukeketaji?

jaap

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
5,344
Reaction score
7,116
Nilikuwa na mpenzi wa kichaga nikakuta kandolewa antena, nikashikwa na butwaa.

Je, mabinti wa kichaga wanakeketwa ?
 
Kuna dogo nilikuwa nae back in the days alikuwa amekeketwa na ilibidi nichunguze background yake nikagundua amelelewa na bibi..so inawezekana kuna baadhi wanafanyiwa maana wazee/wabibi wa zamani wanaweza kuwa conservative
 
Ulishindwa kipi baada ya kukuta antena hakuna?
 
We Kula tembea ukimchunguza Bata hutakula nyama
 
Warangi, Wambulu, Wakurya, Wachaga, Wataturu, n.k ni makabila mashuhuri kwa kukeketa mkuu usishangae.
 
Mbona sijawai kusikia vyomba vya habar vikikemea Kilimanjaro waache kukeketa?
 
Kuna dogo nilikuwa nae back in the days alikuwa amekeketwa na ilibidi nichunguze background yake nikagundua amelelewa na bibi..so inawezekana kuna baadhi wanafanyiwa maana wazee/wabibi wa zamani wanaweza kuwa conservative
Mbona ukeketaji unapigwa vita baadhi ya maeneo , Kilimanjaro aupigwi vita?
 
Back
Top Bottom