“Scientists have found that babies sometimes cry at night to prevent their parents from making another baby “
“ Wanasayansi wamegundua ya kwamba muda mwingine Watoto wadogo hulia Usiku kuzuia...
Leo nina swal muhimu sana kwa wanawake wote tz samahan kwa nitakao wakela ila nataka kuelewa! Ni kwanini wanawake wengi waliopo kwenye ndoa,uhusiano au mapenz wengi wao huwaza kua mume wake ndiyo...
Habarini,
Jamani siku hizi wadada wa kazi hawakai, akija baada ya mwezi utasikia naondoka, sababu ni nini? Tupeane mawazo ili tusaidike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzazi mwenzangu ambaye naishi naye, wiki ilopita lisafiri kidogo kuelekea nyumbani. Kwabahati nzuri nyumbani kwako na kwetu Ni mji mmoja.
Sasa leo wakati tunachati asubuhi akajikuta ametuma namba...
1. AL- MUKHTALIA
ni mwanamke anaependa kuomba Talaka kila wakati ama mwenye kupenda kumwambia mumewe nirudishe kwetu wachaane kila mara.
2. AL- MUTABAHIA
ni Mwanamke mwenye majisifu kwa mavazi...
Sasa ipo ivo kuna mdada nilimwona status ya rafiki yangu wa kike nikaomba namba nikapewa nilivyomcheki hakuzingua akawa ana respond vizur tuu nikamwomba picha akanitumia anaonekana mzuri kweli na...
Hotuba ni nzuri imejitosheleza
*HOTUBA YA RAIS JPM KWENYE SADC*
Ladies and Gentlemen;
I feel greatly honoured and yet privileged to be given this rare opportunity to address this Assembly for...
Hii tabia kila siku nailaani sana hasa nikiwa nimebaki peke yangu. Pamoja na kuwa na wanawake wenye sifa lkn bado hii tabia inanisumbua sana. Hivi sasa shetani kaniongoza katika wanawake wenye...
Habari zenu wakuu,
Huu ni uzi maalumu wa kuandika nyimbo nzuri za kuingilia ukumbini maharusi.
Kama una idea ya wimbo mzuri ambao maharusi wakiingia nao basi lazima watu wengine wasimame kuimba...
Ni kama utani .. Ulianza kunitext . tukakaa for years as friends. Tukazidi kushibana. Tuliwasiliana kipindi kirefu bila kuonana.. Primary classmate. Hustle zetu zikatufikisha katika vyuo...
HABARI YA SASAHIVI POLENI NA KAZI
NAOMBENI USHAURI
Mama mdogo wangu kabisa kaolewa kwenye ukoo flan( ) sasa kwenye huo ukoo huyo mwanaume aliye muoa mamdogo ,,ukoo wao kwao ni wengi ,baba ake wa...
Kuna binti alitoka hapa kijijini kwetu, form IV alipata division II ya heshima kwenda PCB. Shopping ya kwenda shule ilibidi Baba Paroko amsaidie kwani wazee hawakuwa na uwezo.
Amefika shule...
Wakuu, nina jamaa yangu Rafiki yangu wa karibu sana. Tumejuana since we have 5 years olds, we studied kindergarten together na Elementary together. Tulivofika secondary tukawa tumetengana kwa...
Wana jukwaa kma heading inavoonesha natafuta serious mwanamke mwenye hio age sifa asiwe na mume tu, na uwe na pesa sitaki vizinga me ni kijana wa 24yrs, nimechoka na mapenzi ya hawa mabinti bora...
Nimemzoea mtu yapata miaka kadhaa huwa anajionyesha yeye ni malaika alijiweka sehemu ya mimi kumuamini ila alitoka akampa kazi mtu mwingine nikatika kampuni ya rafiki yake
Akaona isiwe tabu...
Kwa wale mliowahi kuwachoka wake zenu, waume zenu au wapenzi wenu mtakua mnanielewa.
Yaani ukimchoka mpenzi wako sijui unamonaje. Unamuona kama kinyago fulani hivi kisicho na thamani yoyote ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.