Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni siku ya tatu tangu nimtongoze huyu Single mother na kukubaliana nae kiutu uzima kuhusu kuunganisha vikojoleo vyetu, --Sasa Siku ile ile yaani juzi baada ya kukubaliana tu jioni kanicheki...
8 Reactions
104 Replies
10K Views
Habari ya weekend! Baada ya kuweka wazi katika Uchambuzi Wangu jana kwamba mwanamke hana kipaumbele katika...
30 Reactions
103 Replies
16K Views
Habari. Mimi jaman kuna jambo lanitatiza, kuna demu ananipenda kuliko maelezo yaan sana tu kila kitu anafanya yaan nikisema kila kitu muwe mnaelewa. (Kufua, kupika, kuosha, kudek nakadhalika)...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote...
71 Reactions
267 Replies
19K Views
Habarini wadau, Sijawahi kuona wazungu wala watu wa Asia wenye visogo kama walivyo baadhi ya watu weusi wengi tu. Sababu ni nini? Just nature au?
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Salamu kwenu waungwana, Nimewahi kusikia huku nchi za watu kuna ndoa au mahusiano ya mkataba. Kama wewe ni mume au mke unakubaliana na mwenzako kuwa katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda niwashauri vijana wenzangu ambao bado tuna safari ngumu yenye kuhitaji kazi kubwa nguvu zetu bado zinahitajika kwanza tujiepushe na zinaa kwani inatumaliza nguvu day mpaka...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu habarini! Natafuta mchumba mwenye vigezo vifuatavyo. 1. Awe mweupe 2. Umbo namba nane 3. Tako liwepo la kawaida yaani lisizidi sana wala kupungua sana. 4. Elimu kidato cha nne mpk degree...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 mwajiriwa katika private sector ninatafuta binti wa kuchumbia ili baadae awe mke wangu wa maisha. Sifa za binti Awe mcha Mungu, Amemaliza kidato cha nne na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Wiki kadhaa zilizopita nilipandisha uzi hapa JF kuwa kuna Beki tatu wangu wa kitanga ana ni Seduce. Huyu Beki 3 nimfanyeje? Sasa vimbwanga aliviendeleza na wife hakuwa akiniamini...
22 Reactions
234 Replies
29K Views
Ni Sikh nyingine tena niliyoitenga kuwapa wasiyoyajua wanajf wenzangu. kama ilivyokawaida dunia ina mengi sana ya kushangaza na kustaajabisha. Moja ya mambo usiyajua wewe msomaji wa Uzi huu ni...
6 Reactions
102 Replies
11K Views
“Scientists have found that babies sometimes cry at night to prevent their parents from making another baby “ “ Wanasayansi wamegundua ya kwamba muda mwingine Watoto wadogo hulia Usiku kuzuia...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Leo nina swal muhimu sana kwa wanawake wote tz samahan kwa nitakao wakela ila nataka kuelewa! Ni kwanini wanawake wengi waliopo kwenye ndoa,uhusiano au mapenz wengi wao huwaza kua mume wake ndiyo...
5 Reactions
51 Replies
7K Views
Habarini, Jamani siku hizi wadada wa kazi hawakai, akija baada ya mwezi utasikia naondoka, sababu ni nini? Tupeane mawazo ili tusaidike. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
142 Replies
15K Views
Nazungumzia sifa maalum ambayo ipo constantly kwa mwanamke katika kuchagua mwanaume haipo! Hata wanawake nao hawajui, ukimuuliza mwanamke anapenda mwanaume gani; utasikia; "Oooh mimi napenda, awe...
18 Reactions
71 Replies
9K Views
Mzazi mwenzangu ambaye naishi naye, wiki ilopita lisafiri kidogo kuelekea nyumbani. Kwabahati nzuri nyumbani kwako na kwetu Ni mji mmoja. Sasa leo wakati tunachati asubuhi akajikuta ametuma namba...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
1. AL- MUKHTALIA ni mwanamke anaependa kuomba Talaka kila wakati ama mwenye kupenda kumwambia mumewe nirudishe kwetu wachaane kila mara. 2. AL- MUTABAHIA ni Mwanamke mwenye majisifu kwa mavazi...
6 Reactions
34 Replies
12K Views
Sasa ipo ivo kuna mdada nilimwona status ya rafiki yangu wa kike nikaomba namba nikapewa nilivyomcheki hakuzingua akawa ana respond vizur tuu nikamwomba picha akanitumia anaonekana mzuri kweli na...
5 Reactions
96 Replies
9K Views
Hapa Rainbow Dodoma saiz tinacheki Game la Arsenal kama unaweza jongea basi fanya hivyo...Kula kunywa juu yangu(free)
2 Reactions
1 Replies
644 Views
Hotuba ni nzuri imejitosheleza *HOTUBA YA RAIS JPM KWENYE SADC* Ladies and Gentlemen; I feel greatly honoured and yet privileged to be given this rare opportunity to address this Assembly for...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom