Umri wangu unaniruhusu kuitwa mama

Umri wangu unaniruhusu kuitwa mama

Kwa maneno mengine uko tayari kwa USINGO MAZA ndoa kwako si muhimu kabisa.

Kichwa habari kimejieleza ,endapo mwenye uhitaji Kama mimi anaweza nitafuta kwa mazungumzo Cha msingi kupendana na eshima
Mengine tutaambiana inbox
 
Kichwa habari kimejieleza ,endapo mwenye uhitaji Kama mimi anaweza nitafuta kwa mazungumzo Cha msingi kupendana na eshima
Mengine tutaambiana inbox
Kwanini unatumia id mpya mkuu au Ulishaharibu kwenye ile id yako ya zamani ?
 
Tuma number yako ya M-Pesa.... natarajia matangazo mengi zaidi baada ya kauli za bashite

Au ndio bashite nini?
 
Back
Top Bottom