Mbinu za kutongoza wanawake wa kizungu

Mbinu za kutongoza wanawake wa kizungu

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,641
Hi JF
naipenda sana JF
Basi Leo tupeane mbinu za jinsi ya kuwa na mwanamke wa kizungu unaempenda.

Swala la kumtongoza mwanamke inategemea na utamaduni wa sehemu husika unavyotumika lakini mimi leo naenda kukuambia njia inayovutia na inatumika kumtokea mwanamke wa kizungu(marekani).

kwa mwanaume aliezoea mwanawake wa kibongo,kuja kukutana na mwanamke wa kimarekani ni changamoto kwake kuwa na mwanamke huyo.
Maana namana ya kuwa kimahusiano na mwanamke wa kibongo na kuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa kizungu ni tofauti na yote hayo ni kwa sababu ya tamaduni kuwa tofauti.
#Mwanamke wa kibongo anaamini pesa(umunulie wigi,lotion,matumizi,umnunulie nyumba,gar nk..)
#Mwanamke wa kizungu ana amin kucare(umtakie usiku mwema,uwe nae karibu,kubembeleza nk....)

Kitu cha kwanza kufanya unapokutana nae ni;

*kujitambulisha kwa jina,(hii uwa ni kama salamu).na inategemea mnakutana wapi na sio tu bara barani.

baaada ya hapo unaweza kumuuliza ana miaka mingapi,kazi,anapoishi na vitu vingine tu vya kawaida.

*acha siku mbili tatu zipite kwa mara ya pili mnapokutana,muombe kuwa rafiki yake(kabla ya kumtongoza wanaomba kwanza urafiki).maana wengine uwa aanauliza urafiki wa aina gani,
Maana kuna
-urafiki wa faida, huu ni urafiki ambao unaweza kuwa unatembea nae bila ya wewe kuwa kwenye mahusiano nae au kuwa mpenzi wako,mfano wewe unajinsia kutembea nae unamuomba leo nataka,anakuja anakupa na maisha yaendelea,hata na yeye akikuitaji unampa hivyo hivyo.
-kuna urafiki wa kawaida,huu ni urafiki wa kutembea,kula,hata kulala na kufanya mambo mengine pamoja bila kuwa kwenye mahusiano,
-kuna urafiki wa mpenzi,huu ni urafiki mtu ni mpenzi wako,unatembea nae ila hamna malengo ya kuoana au kuishi pamoja.kama wewe ni mpenzi wake hivyo hawezi kuwa na mwanaume mwingine mpaka pale mtakapo achana.
kwaiyo ukipewa na fursa hiyo unaweza kuchagua yeyote na ukapata uraisi wa kuwa nae.

*baada ya urafiki ikiwa ni urafiki tu wa kawaida mara nyingi ndo unatokea,penda kumualika kwenye mazoezi ya kutembea,football,kahawa,diner,meetup.
Na unaweza kumwambia hivi,kesho saa fulani dakika kadha nitakuwa nafanya mazoezi sehemu fulani unaweza kuja tujumuhike kwa pamoja(mambo hayo yanamfanya aone unamjali sana).

*muulize kama ana boyfriend,ila hii unaweza kumuuliza hata siku ya kwanza kukutana nae si tatzo,akiwa anae atakuwambia kama hana vile vile atakuambia ukweli.


Itaendelea.............
 
Labda kwa tamaduni zetu za kiafrika,ni kawaida ni ni ktu cha kawaida kunuhuliza mtu yeyote unri wake
Mwanamke yeyote hapendi kuulizwa umri tena wakizungu ndio uvunja urafiki
 
Ukitaka akushangae muulize ana umri gani hapo utamfanya awe mbali na wewe mpaka hapo umechemka
 
Kwa utamaduni wetu,ni ngumu kumuuliza mwanamke ana umri gani,lakni katika maisha ya wenzetu ni kawaida sana hata mwanamke kukuhukza ww una umri gani.sio kitu kigumu kumwambia mtu ana umri wako,..
Ukitaka akushangae muulize ana umri gani hapo utamfanya awe mbali na wewe mpaka hapo umechemka
 
Kwaiyo unaweza kumtongoza dem wakizungu ata barabaran uka msimamisha ukaomba namba, au kwenye bus umekaanae kitikimoja, au Kwenye ATM.?
 
Hapana mkuu atakushangaa sana haipendezi
Kwaiyo unaweza kumtongoza dem wakizungu ata barabaran uka msimamisha ukaomba namba, au kwenye bus umekaanae kitikimoja, au Kwenye ATM.?
 
Back
Top Bottom