Hii imekaaje wakuu

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Messages
879
Points
1,000

Gwele

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2016
879 1,000
Kuna dada nilifahamiana nae kupitia rafiki angu ambae walikuwa wanajuana na wapo karibu kiasi, nilichukua namba kwa rafiki yangu nikawasiliana nae nakufanya appoitment ili anifahamu kwani hakuwahi kunifahamu vizuri hapo awali
Tulipanga tuonane maeneo ya karibu kabisa na kwao kwa madai asingeweza pata chance ya kutoka mbali na eneo la hapo kwao kwa siku hiyo akanieleza anaishi kwa dada na hivyo kwa kipindi hicho shem wake alikuwepo na asingeruhusu atoke kwenda mbali
Basi nilikutana nae karibu na maeneo ya kwao akanifahamu na tukapiga story kama dakika 10 then tukaachana
Tatizo la huyu dada mara tu nilipogusia suala la mapenzi aliruka akasema kwanza hataki mpenzi anataka mume tu na tayari kuna mtu ameshakuja kujitambulisha kwa dada na anafanya kazi........ so na wewe pia uje kwa dada ukufahamu na ajue unafanya kazi gani
Kila nilipojaribu kumfosi tufanye mtoko anasema hawezi toka mpaka dada ake anifahamu na amemueleza kila kitu hivyo anasubiri niende ili anione na kuna maswali anihoji
Kwa upande wangu Gwele ugumu unakuja kwanza sina nia ya kumuoa huyu binti hivyo sihitaji mambo ya kutambulishana pili ananiambia tayari kuna jamaa wa kwanza tayari ameshaenda kutambulishwa na kwa status ya kazi anayofanya jamaa ni wazi naona wanataka kuangalia yupi ana unafuu kiuchumi ili mdogo wake aolewe nae
Sasa ni ushauri nahitaji kwenu wakuu namna ya kumpata huyu binti bila kwenda kufahamika kwa dada ake?
 

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
6,967
Points
2,000

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
6,967 2,000
1.Huna nia ya kumuoa (wewe unataka uchomoe betri tu usepe ),
2. Anataka akulinganishe tu na jamaa wa mwanzo
3. Huwezi kwenda kujitambulisha kwa dadake.

Mkaushie tu ila akikutafuta mpe mtoko wa out, akichomoa tu achana naye.
 

Tehamaleo

Member
Joined
Aug 14, 2019
Messages
35
Points
95

Tehamaleo

Member
Joined Aug 14, 2019
35 95
Kafanye kazi, acha upuuzi na kusumbua watu kwa kuomba ushauli wa kijinga ktk mazingira kama hayo,mwnyewe unasema huhitaji kumuoa ,yeye anahitaji kuolewa sa sa ushauli wa mini?
 

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Messages
879
Points
1,000

Gwele

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2016
879 1,000
1.Huna nia ya kumuoa (wewe unataka uchomoe betri tu usepe ),
2. Anataka akulinganishe tu na jamaa wa mwanzo
3. Huwezi kwenda kujitambulisha kwa dadake.

Mkaushie tu ila akikutafuta mpe mtoko wa out, akichomoa tu achana naye.
Kweli mkuu labda nifanye hivyo nimkaushie kwanza nisubiri akijipendekeza nimtoe out
 

Forum statistics

Threads 1,390,537
Members 528,186
Posts 34,053,924
Top