Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 556
Kuna baadhi ya wanawake huwa wanadai kwamba hawawezi kufanya mapenzi kwa kutumia kondom sababu huwa zinawawasha.
Wengine huenda mbali zaidi na kusema kwamba huwa wanapata michubuko pindi wanapofanya mapenzi kwa kutumia kondom.
Je ni kweli huwa zinawawasha au inakuwaga ni gia yao tu kutaka kufanya mapenzi bila kinga ?