Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
Hekima kutoka kwa mzee:
- Vijana oaneni mapema
- Ikiwezekana mzae mapema,kama huna athari za kiafya zaeni kuanzia 5 na kuendelea
- Watoto wapewe misingi ya umoja na wasibaguane
- Na ikiwezekana washirikishe katika shughuli zako za kibiashara,kikazi n.k
- Watoto wako ndio marafiki zako,sisi wengine ni wapambe tu tunaweza kukugeuka muda wowote ule kama hutokuwa na manufaa na sisi.
- Ukiwa mzee au mgonjwa hapo ndipo utaona umuhimu au fadhila za uzao wako