utafiti umefanywa kwa njia gani?
Mara binti wa miaka 25 ana bikra,wakati huo mkoa unatuhumiwa kwa ndoa za utotoni.
Yaani huo mkoa watoto wa kike wanaolewa wakiwa na umri mdogo. sasa wewe na huu utafiti wako una walakini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.