Yaliyomsibu kaka yangu

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,003
2,000
Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
 
No retreat no surrender

No retreat no surrender

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
1,898
2,000
Kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe! Ukisema "YALIYOMSIBU' Unamaanisha majanga. Sasa hakupatwa na janga lolote kwasababu hakuhathirika.Ungesema labda. "kaka yangu ana bahati"
 
Top Bottom