Jamaa Mtanga bana kaoa Mchaga miezi kama 6 iliyopita.
Enzi zote za uchumba mke alikuwa anajibidiisha kuandaa chakula cha mumewe, lakini sasa dada wa kazi ndio kila kitu kuandaa mpaka kumpa...
Usemi huu wengi hawauelewi maana yake hasa. Mimi binafsi kwa miaka niliyoishi hapa duniani na maisha niliyopitia nimejifunza kuwa kila unachokifanya hapa duniani malipo yake ni hapa hapa duniani...
Habar zenu wakuu,
Leo nikiwa maeneo na masela tulibishana sana mpaka nimeona bora niilete hii mada humu. Swali eti wanawake waliozaa wana papuchi mnato??? Me nimetembea na wa2 tayar lakini to be...
Tanzanian Authorities To Publish Names Of Married Men To Protect Single Women
Authorities in Tanzania are considering publishing the identities of all married men on a website run by a state...
Umerudi kutoka kazini unajipindae jikoni kumpikia sweetheart akirudi kama hajalewa amechoka. Kesho asubuhi mnatoka wote chakula mnamuachia dada ampe garden boy.
Nilimzoesha kumsubiri tule wote...
Kama umeoa / umeolewa, ukitaka kujua kama upendo umepungua kwa mwenza wako / ndoa mate wako / mgegedano mate / joto lako
Fanya hivi:-
Jaribu kumtega kuwa una safari flani ya kikazi ya ghafla...
Wakuu habar zenu
Leo nilitembelea nilienda Bank nilikua nimebeba kapu, kufika bank nikaona siyo vizur kuingia na kapu ndan ya bank na lina mazagazaga nilikua nimetoka sokon bas nikawakuta walinzi...
The governor of Tanzania's largest city wants to set up a database of married men to crackdown on rampant love rats.
Paul Makonda, the governor of Dar es Salaam, said he wanted a publicly...
Sifa za mwanamke
Ukimpata anayependa maendeleo au mpambanaji,unakuta kwenye tendo hawezi kumudu
Ukimpata anayependa kuhongwa au pesa,ataigiza kwenye tendo
Ukimpata mbulula au kichwa maji,tendo...
(Intro)
Sikiliza Nafureestyle,Emu Jei Puroductioni,Kwa vijana na wasee,
Nakuja kama Oluwaru Keri keri
(Chorus)
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai ni kitu najivunia umasai fahari yangu..
Mi mmasai...
25 Nov 2013...Mwaka wa 3 JF as a verified user/member.. pamoja na vurugu zote sijawahi pigwa BAN... Invisible eeeeh piga mm BAN hata ya Cku mbili for d sake of my Birthday.
NAWAPENDA SANA SANA WANA JF
Mimi naanza kama ifuatavyo
Uko Kariakoo unauza nguo, unanadi bizaa kwa kila anayepita karibu na unapo uzia nguo, Umeajiliwa ktk ofisi flani huko posta kwa siku unapokea simu 60 za kikazi na...
Kuna kaka hapa ofisini kwetu aligundulika na kansa ya kongosho. Ilifika hatua Ocean Rd walimwambia ana miezi miwili tu ya kuishi. Kazini alilipwa mafao yake aendelee kujiuguza.
Akiwa na watoto...
Wakuu habari zenu, wakuu sijui ni
Mkosi au namna gani yaani asilimia kubwa ya wanawake ninaokutana nao ni malaya, na wanawake wa mizinga sana, hivi inawezekana nini mimi peke yangu mwenye...
Heshima kwa kila mmoja
Inafahamika wazi mama ndiye anayejua baba halisi wa mtoto..
Kutokana na uhalisia huo, watu wengi wamekuwa na maswali yasiyo na majibu ya moja kwa moja..mfano
1. Unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.