Awali ya yote nimshukuru Mwingi wa rehema na Baraka. Jina lake litukuzwe..
Kwa siku za hivi karibuni, nimekuwa na mawazo sana ya kumuhsu #TagUbavu wangu. Ama Mama Chanja.
U hali gani mupenzi...
Wakuu kumekucha tena. Nimejitia kuandika zaidi kuhusu mabinti kwa lengo moja tu, kujaribu kukifumbua macho kizazi kinachopotea kwa kasi. Najua majibizano na maneno makali yatokayo hasa kwa...
Kichwa cha thread kinajieleza ,Mimi ni kijana wa miaka 28 nahitaji msichana mwenye umri sawa ama chini na umri wangu tuanzishe mahusiano.Niko single kwa miezi mitatu baada ya kuachana na mpenzi...
Hiyo kauli amenipatia mchepuko wangu Wa zamani ambao sasa umeolewa. Of course tangu aolewe sijawahi kumtafuta zaidi ya kuanza ye mwnyw nami kujibu kdg. Jana nikaamua nimtege kwa kumuuliza kuwa...
Nyie;
Wapendanao wote, wa jinsia zote, iwe wa kike au wa kiume au hata wasiojua jinsia zao husika wanapewa onyo kwamba, Mahusiano ya kimapenzi, pamoja na kuwa ni baraka yanaweza kuwa ni hatari...
Kuna baadhi ya akinababa wamekuwa na tabia ya kuwakataa na hatimaye kuwatelekeza watoto wao hasa wale wanaozaliwa nje ya ndoa zao (waliozaa na michepuko).
Kwa uchunguzi wangu, mara nyingi mungu...
Pale unapochukua simu ya mpenzi wako nakuanza kupekua ukidhani amelala fofo kumbe yupo macho
Anakujibu sheet kama hivi
""Ukimaliza kazi yako naomba ukalilie nje me sitaki makelele hapa"...
Za siku nyingi wanabody?
Bila kupoteza muda iko hivi, nina msichana wangu ambaye namzimia kinoma noma, tuna mipango mingi ya mbele mizuri na naapa tangu nijuane na yeye sijawahi kumsaliti hata...
Naandika haya huku roho ikiniuma sana. Kabuku ( Tsh 1000 /= ) kangu kameenda kizembe sana. Dah
Siku hizi wadada wamekuwa wepesi sana kutoa namba zao mitandaoni..
Basi bana, juzi kati nkamuomba...
Wakubwa shikamoo, wadogo malahaba. Naomba msaada wa kijuzwa kama nina tatizo la kiafya au ndo yale matatizo yetu yaliyosuka? Mimi nikitoka na mwanamke ata kama ni mzuri kiasi gani, nikivaa condom...
Niajee humu ndichi...?I hope mko poa..Aisee!Leo nko uku Fas ya Njiro kwa watoto wa mashavuni(Ushuani)kwa Sister'angu nimetimba kuja kuwapa ma'niaje ma'hi,,For now tumemaliza kupiga diko(Kula)mambo...
Jimama moja hapa mjini kwetu limetokea kunipenda sana kimapenzi eti,,eti linasema nilikubalie kabla ya yote tukapime afya zetu ndo tufanye mapenzi
Jimama lenyewe pesa usiulize ni za kutosha, ili...
Salamu kwenu waungwana,
Nimekuwa nikiwasikia watu wazima wakidai kwamba kitovu cha mtoto mchanga kinaweza kutumika kama limbwata ambalo halina expire date. Nasikia mwanaume aliyefanyiwa limbwata...
Mwezi huu wa tisa naanza chuo rasmi mwaka wa kwanza, naenda kusoma radiology. Sasa naanza ku behave kisomi you know na acha mambo ya kijinga nakuwa msomi. Nitakuwa nawaandikia mawili matatu kule...
ndugu poleni kwa majukumu na heri ya weekendi,
niende direct kwenye mada, mke wangu anapenda sana churchill show ya Kenya, hivo mm kama mumewe nimepanga nimpeleke december hii kenya ili ainjoy...
Wakuu habari za saizi!!
Poleni kwa majukumu kwa wenye nayo kama mimi, wengine hongereni kwa bata.
■ Kuna jambo limeishi miaka mingi sana {niseme mpaka sasa hivi}
● Nikiwa O'level mkoa mmoja hivi...
hii inanisumbua sana siku hizi mara kadhaa nikilala naota nafanya mapenzi na nikishtuka tu tayari wazungu washatoka mda mrefu na nakuwa nimeshaloa sasa nashindwa kuelewa nini tatizo la hizi ndoto...
Kama Sera ya JF inavyojieleza "Where we dare to talk openly".
Katika social networks zote hapa Tz napenda JF kwa jinsi ilivyo yaani unapost kitu unachotaka wewe mwenyewe bila kujua mtu aliepost...
Unakuta mwanamke mzuri lakini hata kuzungusha uno hajui.
Unakuta demu mrembo kama mnyarwanda lakini ukimweka kwenye 6*6 anarusharusha miguu tu, hamna kitu.
Unakuja mwanamke urefu sekunde lakin...
Habari wana JF,poleni na harakati za kulijenga taifa.
Naombeni ushauri wenu kwa haya yanayonikuta sasa. Mimi nipo kwenye uhusiano na msichana ambaye kiukweli nampenda sana na nipo tayari kumuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.