Ugenini:Nimeambiwa nilale na House girl.

Ngareroo

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
2,049
2,249
Niajee humu ndichi...?I hope mko poa..Aisee!Leo nko uku Fas ya Njiro kwa watoto wa mashavuni(Ushuani)kwa Sister'angu nimetimba kuja kuwapa ma'niaje ma'hi,,For now tumemaliza kupiga diko(Kula)mambo ya masokolodinyo,vitu vya chini ya pua,Sasa namsikia Sister akijadili na Mumewe kwamba"Mgeni ni mpole inabidi alale tu na Dada wa kazi",,Sasa machalii apa nnae furaha na Nishacharauka kinyama,nilikua naomba dua zenu chalii'zangu wasibadili maamuzi ikawa ufamba umu fiade.
@NgarenaroBoy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom