Nimefanya mapenzi na rafiki wa msichana wangu, roho inaniuma sana

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,608
2,000
Za siku nyingi wanabody?

Bila kupoteza muda iko hivi, nina msichana wangu ambaye namzimia kinoma noma, tuna mipango mingi ya mbele mizuri na naapa tangu nijuane na yeye sijawahi kumsaliti hata siku moja ila anarafiki yake ambaye tunaheshimiana sana ila kwa bahati mbaya sana huyo rafiki yake nimemchapa.

Usitake kuniuliza ilikuwakuwaje hadi nikala mzigo, ila we elewa tu kwamba nimekula mzigo kwa shemeji yangu, kiukweli roho inaniuma sana tena sana hasa nikifikiria walivyoshibana.

Naumia zaidi nikiwa naongea au kuonana na mpenzi wangu kila nikiwaza nilichomtendea nafsi inanisuta sana, yaani hii hali inanitesa sana kisaikoloji, hii ni true story jamani.

Naomba ushauri wenu, je nifanyeje ili niwe na amani ya moyo?
 
Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,283
2,000
Za siku nyingi wanabody?? Bila kupoteza muda iko hivi..nina demu wangu ambaye namzimia kinoma noma.tuna mipango mingi ya mbele mizuri na <b>naapa tangu nijuane na yeye sijawahi kumsariti hata siku moja</b>.ila ana lafiki yake ambaye <b>tunaheshimiana sana</b>,ila kwa <b>bahati mbaya sana</b> huyo lafiki yake nimemchapa..<b>usitake kuniuliza ilikuwakuwaje hadi nikala mzigo</b>,ila we elewa tu kwamba nimekula mzigo kwa shemeji yangu..kiukweli roho inaniuma sana tena sana hasa nikifikiria walivoshibana..naumia zaidi nikiwa naongea au kuonana na mpenzi wangu kila nikiwaza nilichomtendea nafsi inanisuta sana..yaani hii hali inanitesa sana kisaikoloji ,,hii ni true story jamani..naomba ushauri wenu je nifanyeje ili niwe na amani ya moyo

Kweli Mwaka wetu huu...

Unasema hujawahi Msaliti tangu ujuane naye, hapo hapo unasema ume lala na rafiki yake, which is which?

Eti ana rafiki yake ambaye mna heshimiana naye sana, hakuna ukweli, ingekuwa mnaheshimiana Msinge chokonoana.

Siku zote hakuna bahati mbaya, badala yake tunasema 'Isivyo bahati'

Hutaki kuulizwa ilikuwaje, ila nataka kupewa ushauri, tutakupaje ushauri bila kujua mazingira yaliyopelekea tukio kutokea.

Ahsubuhi Njema mkuu...
 
Kifimbo1958

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
826
500
Za siku nyingi wanabody?

Bila kupoteza muda iko hivi, nina msichana wangu ambaye namzimia kinoma noma, tuna mipango mingi ya mbele mizuri na naapa tangu nijuane na yeye sijawahi kumsaliti hata siku moja ila anarafiki yake ambaye tunaheshimiana sana ila kwa bahati mbaya sana huyo rafiki yake nimemchapa.

Usitake kuniuliza ilikuwakuwaje hadi nikala mzigo, ila we elewa tu kwamba nimekula mzigo kwa shemeji yangu, kiukweli roho inaniuma sana tena sana hasa nikifikiria walivyoshibana.

Naumia zaidi nikiwa naongea au kuonana na mpenzi wangu kila nikiwaza nilichomtendea nafsi inanisuta sana, yaani hii hali inanitesa sana kisaikoloji, hii ni true story jamani.

Naomba ushauri wenu, je nifanyeje ili niwe na amani ya moyo?
Mbona hukuomba ushauri kabla ?
 
emt45

JF-Expert Member
Jan 19, 2017
565
1,000

Usijali siku na wewe Rafiki yako akimlala Demu wako basi utakuwa umepata wa kukupa ushauri mzuri
All the best
NB : DHAMBI YA USALITI IKILIPIZWA KWA USALITI NI HATARI ZAIDI YA KIFO
 
Makacha Fikirini

Senior Member
May 16, 2017
126
225
Sasa mkuu aya yako ya kwanza unasema huwez kumsalit,hyo hyo aya haata haijaisha unatuambia umemchapa rafik yake.
so,mi cjakuelewa unahitaji nn hapo?
 
Mima white cute

JF-Expert Member
Nov 24, 2017
740
1,000
Za siku nyingi wanabody?

Bila kupoteza muda iko hivi, nina msichana wangu ambaye namzimia kinoma noma, tuna mipango mingi ya mbele mizuri na naapa tangu nijuane na yeye sijawahi kumsaliti hata siku moja ila anarafiki yake ambaye tunaheshimiana sana ila kwa bahati mbaya sana huyo rafiki yake nimemchapa.

Usitake kuniuliza ilikuwakuwaje hadi nikala mzigo, ila we elewa tu kwamba nimekula mzigo kwa shemeji yangu, kiukweli roho inaniuma sana tena sana hasa nikifikiria walivyoshibana.

Naumia zaidi nikiwa naongea au kuonana na mpenzi wangu kila nikiwaza nilichomtendea nafsi inanisuta sana, yaani hii hali inanitesa sana kisaikoloji, hii ni true story jamani.

Naomba ushauri wenu, je nifanyeje ili niwe na amani ya moyo?
Ilinitokea situation kama hiyo wakati nipo form two ...nilikuwa katika mahusiano baadae tukaachana lakini baadae nikaja kugundua Tena huyo mwanaume akawa anatoka na Dada yangu ....nilikuwa inanipa wakati mgumu nilipokuwa najilazimisha kumwita shemeji x boyfriend

OK hii ilitokea kama ajari kwangu sababu mm sikuwa najua kama ana mahusiano na sister wangu na wala sister wangu hakujua na hakuna anaejua na yule x hakuwa unajua kama ni sister wangu.kila wewe mkuu unaonesha hakuna moyo kabisa yahn.

Umemkosea mpnz wako na hiyo dhambi itakutesa zaidi ya ujuavyo unaweza kujikita unatamabi hata urafiki wako ufe kwa ajiri ya ujinga wako.Na rafiki anayetoka na mpnz wa rafiki yake si rafiki Bali ni shetani hafai kuwa rafiki.

Mwambie ukweli tu atakusamehe tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom