Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Uko na age 18-20 unasema unataka kusettle down na jamaa ambae atakua future hubby... calm down sister lazima ukutane na wahuni, get screwed like shit... go through some serious heartbreaks...
3 Reactions
6 Replies
902 Views
Unampigia simu mwanamke wakati mkiwa mnaongea anakuuliza swali,MKEO MZIMA??mara msalimie mpenzi wako??huku anafahamu kuwa bado haujaoa,mitego mingeni sio kabisa. Mwingine anakukaribisha kwake...
10 Reactions
105 Replies
9K Views
Wasalaam members wenzangu mi nikijana mwenye miaka 23 nilimpenda dada mmoja mwenye umri wa miaka 24.Huyu dada alinivutia kwa vitu vingi Sana mpole, ana macho mazuri,ana voice yake ni nzuri Sana...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Kosa kubwa kutoka nje Na jasho ukitembelewa Na msichana kipindi cha joto kama dar Unawezaje kuishi nao ???? ukitoka nje Na jasho tu *Ndo maana hanenepi *Kulegezeana K tu *Anatoa Salam ndeefu...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Salam kwenu wana MMU, Natumaini wote ni wazima wa afya na kama ni tofauti natoa pole. Nahitaji ushauri kuhusu binti kama huyu anayenisumbua sana na sijui nifanyeje kwake aamini kwa sasa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
ALINIPIGA MPAKA KUNIHARIBU KIZAZI KISHA AKANIACHA KISA SIWEZI KUMZALIA Tafadhali naomba ficha jina ila lakini naomba ushee kisa changu kwani naamini itasaidia wasomaji wako kujifunza kutoka...
26 Reactions
288 Replies
28K Views
Habarini wana MMU. Jamani nina girlfriend wangu tunakama mwaka mmoja na miezi kadhaa, kiukwel nampenda ila tatizo linakuja mwanaume aliyekuwa nae(ex boyfriend wake) bado anamsumbua sana, yaani...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari wanajambi. Niko na Utafiti wangu binafsi. Hali hii huwatokea watu wengi ikiwemo wana ndoa,hali ipi na hutokeaje ...Unakuta mda wa kutimiza Amri/tendo la ndoa basi mtu huvuta hisia za...
8 Reactions
103 Replies
8K Views
*Tough Time In Marriages/ Nyakati Ngumu katika Ndoa* Moja kati ya changamoto kubwa sana katika nyakati hizi ni Wanandoa kukubali kupita pamoja katika nyakati ngumu. mwandishi wa Kitabu Cha...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Watu husema kwamba, "Huwezi kujua thamani ya kitu mpaka ukipoteze". Kwangu mimi hii si kweli. . Ukweli ni kwamba, muda wote mtu hufahamu thamani ya kitu alichonacho, sema hua hafikirii kama...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
nlikuwa tu nme chill mitaa ya kati na masela wa kutoka kila sehemu kwa jinsia zote mbili. sisi wana wakitaa hatubaguani kwa jinsia,dini wala rangi. na issue kubwa ilikuwa ni hiyo ya ulaji chakula...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Saalam kwenu wana jf ,wakuu nimechoka kua single nina mtafuta mrembo mwenye uhitaji kama wangu umri kuanzia 28 -38 alieko tayari njoo dm mengineyo mengi tutayajadili ukisha weka contact dm
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo tunakumbusha ‘painfull confession’ uliyowahi kuifanya iwe kwa mpenzi wako, mke au mme wako, rafiki ndugu jamaa au mtu yeyote yule ulikuuma kuusema lakini ilibidi tuu useme kwa vile hakukua na...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Salute wakuu,moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu.. Baada ya kupata misukosuko kwenye mahusiano yangu,na hatimaye kuachana na mtu niliye mpenda mno.. Ref thread=Wenzangu mlivuka vipi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu? Hii tabia ya wanaume kurudi kwa mwanamke uliyemuacha vibaya na kwa maneno ya kashfa uwa mnatoa wapi? Nakumbuka niliachwa na ex boyfriend wangu kwa kisa ambacho hakieleweki. Nilimpigia...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari waungwana. Nimeulizwa suala hilo na mfanyakazi mwenzangu naombeni ushauri wenu story iko hivi:- Mfanyakazi mwenzangu ni baba wa watoto 2 na na maisha yake ni ya kawaida na mke wake ni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo nimeleta somo tujifunze kuhandle wasichana/wanawake zetu kitaalam kwa kufuata kanuni za IAS.69 zinazotambulika na ACCA na CIMA. Objective: The objective of IFRS 69 is to prescribe the...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi kama namkuta ex wangu anaungua na moto nitatumia Petrol kuuzima [emoji849][emoji19], Guys, ngoja tuone wapenzi wetu wa zamani walitutendea/tuliwatendea yapi na kama tumesamehe au bado,
5 Reactions
230 Replies
14K Views
wadau naomben mnijuze madhara ya kutofanya mapenzi ni yapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Awali ya yote nimshukuru Mwingi wa rehema na Baraka. Jina lake litukuzwe.. Kwa siku za hivi karibuni, nimekuwa na mawazo sana ya kumuhsu #TagUbavu wangu. Ama Mama Chanja. U hali gani mupenzi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom