nahitaji rafiki kutoka kenya

nahitaji rafiki kutoka kenya

jogijo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
262
Reaction score
509
ndugu poleni kwa majukumu na heri ya weekendi,

niende direct kwenye mada, mke wangu anapenda sana churchill show ya Kenya, hivo mm kama mumewe nimepanga nimpeleke december hii kenya ili ainjoy, now the problem is sina mtu ninaemfaham huko na sijui hata cost of living ya huko, thou nafaham nauli yake.
hivo kama kuna mtu yupo huko hasa nairobi please naomba nikufaham ili kama ikiwezekana nijue hotel nzuri ya gharama ya kawaida lkn nzuri na mengine, naomba kuwasilisha.
 
Hongera kwa kujali hisia za mkeo mkuu ngj waje wakusaidie
 
Ngoja nikupe mwanga kidogo ukipata guest ya kenya yenye hazi sawa na logde zetu kwa siku kama yenye selfu ndani ni ksh4800/= kwa siku moja tu
 
Churchil show mwambie aziangalie youtube.

Ya nn kuchoma mipesa kufuata kitu ambacho una access nacho toka hapo ulipo?
ndugu poleni kwa majukumu na heri ya weekendi,

niende direct kwenye mada, mke wangu anapenda sana churchill show ya Kenya, hivo mm kama mumewe nimepanga nimpeleke december hii kenya ili ainjoy, now the problem is sina mtu ninaemfaham huko na sijui hata cost of living ya huko, thou nafaham nauli yake.
hivo kama kuna mtu yupo huko hasa nairobi please naomba nikufaham ili kama ikiwezekana nijue hotel nzuri ya gharama ya kawaida lkn nzuri na mengine, naomba kuwasilisha.
 
Churchil show mwambie aziangalie youtube.

Ya nn kuchoma mipesa kufuata kitu ambacho una access nacho toka hapo ulipo?
mkuu maisha haya ukiyapeleka hivo yanakua magumu sana, kwanini ulipe hela uwanajani kuangalia simba na yanga na unaweza kuuona kwenye TV kwa jero yako tu? hata huwez kuwa masikini kwa kufanya hivo.
maisha ni kula, kunywa na kuvaa (biblical)
 
Mimi piaa ni mfuatiliaji mzurii sana wa churchill show

Unaeza ukanipa mkeo nkaendaa nae kenyaa kutizama nna uzoefu na icho kipindi

Ntamrudisha salama
 
Kwa iyo unaenda kuangalia kitu cha siku moja au mbili ili kumridhisha mke wako tu?

Hivi vyuma vimekaza kweli jamani au tunasindikizana tu kwenye huu msemo wadau?
 
Baba kama kawaida tuu. Kulala elfu 50 sehemu nzuri tuu. Elfu 15/ meal. Elfu 70 kiongilio. Gharama ni kama bongo tu hakuna kipya
 
Mpira na churchil ni vitu viwili tofauti.

Kumbuka churchil ukiwa live sio tamu kama ile ya youtube ambayo ilo edited.
mkuu maisha haya ukiyapeleka hivo yanakua magumu sana, kwanini ulipe hela uwanajani kuangalia simba na yanga na unaweza kuuona kwenye TV kwa jero yako tu? hata huwez kuwa masikini kwa kufanya hivo.
maisha ni kula, kunywa na kuvaa (biblical)
 
ndugu poleni kwa majukumu na heri ya weekendi,

niende direct kwenye mada, mke wangu anapenda sana churchill show ya Kenya, hivo mm kama mumewe nimepanga nimpeleke december hii kenya ili ainjoy, now the problem is sina mtu ninaemfaham huko na sijui hata cost of living ya huko, thou nafaham nauli yake.
hivo kama kuna mtu yupo huko hasa nairobi please naomba nikufaham ili kama ikiwezekana nijue hotel nzuri ya gharama ya kawaida lkn nzuri na mengine, naomba kuwasilisha.
Mkuu elewa kwamba ile Churchill show inaruka every Thursday in a week days. Sasa wewe utakaa mwezi mzima kuzisubiria hzo alhamisi ili mkeo aweze kuenjoy? Au shida yake n kuwaona kina Jessy,Churchill, Hamo etc? Pia elewa kwamba Churchill show inamzunguko wake kwa nchi nzima unaeza kukuta December yote hawapo Nairobi wapo kwa county tofauti tofauti mfano meru,eldoret,mombasa,kisumu,nakuru etc je utazunguka nae kuzifuat hzo shows?
 
Back
Top Bottom