Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Pale unapochukua simu ya mpenzi wako nakuanza kupekua ukidhani amelala fofo kumbe yupo macho
Anakujibu sheet kama hivi
""Ukimaliza kazi yako naomba ukalilie nje me sitaki makelele hapa"
Utafanyaje urudishe tu ama presha ndo itapanda zaidi,,,
Anakujibu sheet kama hivi
""Ukimaliza kazi yako naomba ukalilie nje me sitaki makelele hapa"
Utafanyaje urudishe tu ama presha ndo itapanda zaidi,,,