Kila nikilala naota nafanya mapenzi

Kila nikilala naota nafanya mapenzi

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
720
Reaction score
530
hii inanisumbua sana siku hizi mara kadhaa nikilala naota nafanya mapenzi na nikishtuka tu tayari wazungu washatoka mda mrefu na nakuwa nimeshaloa sasa nashindwa kuelewa nini tatizo la hizi ndoto nyevu za mara kwa mara...
 
Una umri gani?
 
Sali kabla ya kulala.
 
Sayansi inasema ndio umevunja ungo. Aah imetoka wapi tena ungo... Kws jinsia yako hizo ni dalili za umebalehe eti!!
 
Back
Top Bottom