Salamu zikufikie popote ulipo..

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,160
1,191
Awali ya yote nimshukuru Mwingi wa rehema na Baraka. Jina lake litukuzwe..

Kwa siku za hivi karibuni, nimekuwa na mawazo sana ya kumuhsu #TagUbavu wangu. Ama Mama Chanja.

U hali gani mupenzi..

Najua kwa muda huu utakuwa labda umejilaza kwa atakayekuwa X wako pindi utakapokuwa nami. Ama labda umejipumzisha sababu ya mchoko wa siku nzima. Ama labda unakesha kutokana na nature ya shughuli zako. Ama labda upo safarini. Au labda unasoma ujumbe huu. Pokea salamu toka kwa Baba Chanja. Nakusalimu..

Hisia za kukutana nawe zinazidi siku hadi siku, najua upo mbioni kukutana nami. Nakusubili sana Mama Chanja wangu. Mfanyie hata visa huyo uliyenaye ili njia ya kuja kwangu izidi kuwa nyeupe, Mmeo nakusubili

Najua utafanya madeko sana pindi utakapokuwa nami, deka mama. Mimi takuwa kwa ajili yako.

Naskia wakisema ' Ishi na mwanamke kwa akili '. Mama, we waache na wivu wao. Mimi kwako takuwa mwanafunzi tena yule wa mwisho darasani. Kwa kifupi sihitaji akili hata ya kuvukia barabara. Mniache na ujinga wangu..

Wengine wanasema, OA ili ufuliwe. Uoshewe vyombo. Usafishiwe ndani. N.k..
Mama mi sitakuoa ili uwe mfanyakazi wangu, kwanza sitahitaji ukomae mikono kwa kazi za nyumbani. Nataka muda mwingi uutumie kwa kulala , kuchati, na kutembelea ndugu jamaa na rafiki.

Najua kuna vitu utakuwa unapendelea, mfano kwenda clubs. Out. Ushoga. Saloon. Nk. Usijali Darling wangu, yote utafanya tena bila ya ruksa toka kwangu. Yote unapenda, nitapenda pia. Ukipenda boga. Penda na ua lake.

Leo nimekununulia saa nzuri sana, naimani utaipenda. Utaikuta . Nitakutunzia Mama Chanja wangu..

Nimewaskia wakisema Wanawake wa sasa hawajui kupika. Ni wavivu.
Mama, nilipokuwa Shinyanga nilifundshwa kupika. Nitakupikia Nyanya Chungu na dagaa. We baki na uvivu wako huoo huoo, kwanza ukiwa mvivu ndio unapendeza zaidi..

Sitotaka upate shida ya kukwangua vocha sababu ya MB. Nitafunga wireless networt ( Wifi ) kwa matumuzi yako pekee.

Nafahamu pia kabla yangu ulikuwa na mtu, usisite kumkaribisha nyumbani pindi utakapomis ukaribu wake. Mkutane mjadiriane changamoto mbalimbali za maisha

Usilale bila kusali. Usiku mwema Mama Chanja
 
usivute bangi siku ya mwenge ukaenda kudongoza utaambulia kina Demiss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom