Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Dunia saiv imechange kwa kiasi kikubwa sana, zamani ilikuwa unapokuwa tayali kupata mke basi kunabaadhi ya njia itabidi upite ili kufanikisha jambo, lkn saiv ukilala na mtoto wa watu ad asubuhi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni takribani miaka tisa (9) tangu nilipokutana na huyu binti ambaye mwanzoni sikujua kama nitakuja kuwa nae na ukaribu uliopelekea kuingia kwenye mahusiano. Nakumbuka nilikutana na Rose nikiwa...
28 Reactions
99 Replies
13K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kilivo, JF kuna watoto wazuri bhana, kuna mtoto mmoja nmebahatika kujuana nae vizuri, msiulize kama nshonana nae au bado, kiumri naona tunakarbiana, mtoto kaumbika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi Wadada Mnachoraga Nini Kifuani Kwetu Tukisha Maliza kusex Wakati Mmelala Kifuani Hii Kitu Sielewagi Kabisa 😂🤣
1 Reactions
10 Replies
1K Views
...???
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Hi guys, Hope mpo salama, Nakumbuka ilikuwa jumapili moja hivi tulivu sikuwa sawa kiafya hivyo nilikuwa nimeamua niende hospitali moja ya kidini nikapime ili nijue kinachonisumbua, Hivyo nikafika...
12 Reactions
105 Replies
11K Views
Naombeni mfunguke tuanze mwaka 2019 vizur tujirekebishe. Je huwa mnakerwa na mambo gani kutoka kwa wanawake wakat wa sex? X wangu ameshawahi niambia hivi? 1.Nazungusha mno kiuno mpaka anawahi...
21 Reactions
638 Replies
111K Views
Mauaji ya mapenzi yanazidi kushika kasi kila siku, mauaji ya mapenzi yamekuwepo miaka na miaka ila sababu ya teknolojia sasa yanaonekana ni jambo geni kwa sababu ya uharaka wa kusambaa taarifa...
8 Reactions
22 Replies
5K Views
Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto. Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook...
4 Reactions
173 Replies
16K Views
..
1 Reactions
0 Replies
743 Views
Wakuu, habarini kuna mrembo mmoja nitokea kuzoeana sana nae, nitumie mbinu gani niweze kumtoa huyu mrembo outing au maneno gani nimwambie ili atambue nataka nimualike lunch
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Kuna picha kali sana linachezwa JF kwa sasa naona picha za wadada wazuri na popular zikipandishwa On Air Na wavulana, Mnajua Zero IQ nikiwatongoza kule PM mnakataa na kusema mimi ni malaya...
13 Reactions
49 Replies
4K Views
Huyu ni mke wa brother wangu kwenye mambo mengine tunaishi fresh tu ila kitu kimoja ananikela ni tabia yake ya usnitc, Jana nimepigwa kibuti na demu wangu kwa sababu yake ya kutembeza umbea kwa...
6 Reactions
57 Replies
8K Views
Mara ya mwisho alisikika akisema anafuatiliwa na polisi baada ya kumpa mimba mtoto wa Diwani.. Kama kuna mtu yupo Jirani basi tusaidie pia Kama yupo umwelani basi Afande ampe simu awe anatupostia...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari wanaJF, naomba mnishauri pia kwa hili. Nilikutana na binti mmoja mwaka 2012 katika mazingira ya kazini na tukaingia katika mahusiano, binti huyo alikuwa akiishi kwa dada yake mkubwa ambaye...
24 Reactions
238 Replies
21K Views
' #Supamix Tume ya Kudhibiti Ukimwi TACAIDS, imesema maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi yako juu na utafiti mpya umebaini kila saa 1 watu 10 wanaambukizwa maradhi hayo. ' Inamaana hii...
4 Reactions
152 Replies
13K Views
Wakuu naombeni ushauri nimeota ndoto kama mara mbili zinanitokea point namuota x wangu ananililia na kuniarahumu kwanini nimemuacha zinanitokea baada ya mimi kuwa na mahusiano na binti mwingine na...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Naishi na mume na mtoto wa wifi angu ana 26 miaka kaja kurudia mtihan Kweli ananinyima usingizi bint hataki umwambie chochote akikosea ukimrekebisha ananuna anisemesh 1) ana group la wanafunzi...
7 Reactions
96 Replies
8K Views
Habarini ndugu zangu, Naombeni msaada wenu wamawazo juu ya kumuacha mpenzi mlioshibana nae kisawasawa bila kumletea madhara ama hata yakikuwepo yasiwe makubwa kiasi hicho. Nawasilisha tafadhali.
3 Reactions
55 Replies
8K Views
Ushawai kumpenda dem na kumfia mazima kiasi kwmb anakwambia ye ana msela lkn we huelewi..unamkazia!! Inabidi dem asisitize,"I HAVE ONLY ONE HEART,PLZ, I CANT LOVE TWO MEN" Nawewe unaona...
15 Reactions
119 Replies
15K Views
Back
Top Bottom