"Wewe nikaushie nitakuwa naanza mimi tu!"

"Wewe nikaushie nitakuwa naanza mimi tu!"

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,854
Reaction score
5,714
Hiyo kauli amenipatia mchepuko wangu Wa zamani ambao sasa umeolewa. Of course tangu aolewe sijawahi kumtafuta zaidi ya kuanza ye mwnyw nami kujibu kdg. Jana nikaamua nimtege kwa kumuuliza kuwa nifanyeje ikiwa nami nimepata mshawasha Wa kumsalimia ndipo aliponijibu hvyo km kichwa cha habari kilivyo.

Wazoefu, ni kawaida jibu km hill au Luna maana zaidi hapa? Ni km sijalipenda hv.....sijui kwanini!!
 
Hiyo issue ilinishinda mm kwa mrembo mmoja ingawa nilikuwa nimeoza kwake nikaamua kukaa pembeni
 
Amekwambia kuwa na subira atakutafuta yeye usije akashtukiziwa.. Halafu mkuu usisikilize maneno ya watu wanaokwambia mke wa mtu sumu wanakuonea wivu unapendwa wanatamani wawe kama wewe sema ndo hvyo hawana bahati
 
mh, kiongozi hunitakii mema......hebu jaribu wewe kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom