Re: limbwata la kitovu cha mtoto mchanga

Re: limbwata la kitovu cha mtoto mchanga

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
1,002
Reaction score
2,293
Salamu kwenu waungwana,

Nimekuwa nikiwasikia watu wazima wakidai kwamba kitovu cha mtoto mchanga kinaweza kutumika kama limbwata ambalo halina expire date. Nasikia mwanaume aliyefanyiwa limbwata la kitovu cha mwanae hafurukuti. Hii ndio sababu kuu ya wakwe kutoruhusu vitovu vya wajukuu zao vizikwe au vihifadhiwe na mama zao kwani huenda wakafanya huo mchezo wa kuwainamisha watoto wao.

Binafsi sijui kama ni kweli au lah ila kwa mnaojua ukweli wa hii mtujuze zaidi.

Process nzima ya kutengeneza hilo limbwata me siijui hivyo usijeniuliza how.

Ila kama ni kweli basi dunia ina mamboo. Wanaume tulieni mtalishwa hadi mavi kisa tabia zenu za kuonja onja.
 
Umeanza vzr kabisa ukaja kuharibu mwishoni.

Kutulia na kulishwa limbwata kunahusiana vp mama la mama?
Salamu kwenu waungwana,

Nimekuwa nikiwasikia watu wazima wakidai kwamba kitovu cha mtoto mchanga kinaweza kutumika kama limbwata ambalo halina expire date. Nasikia mwanaume aliyefanyiwa limbwata la kitovu cha mwanae hafurukuti. Hii ndio sababu kuu ya wakwe kutoruhusu vitovu vya wajukuu zao vizikwe au vihifadhiwe na mama zao kwani huenda wakafanya huo mchezo wa kuwainamisha watoto wao.

Binafsi sijui kama ni kweli au lah ila kwa mnaojua ukweli wa hii mtujuze zaidi.

Process nzima ya kutengeneza hilo limbwata me siijui hivyo usijeniuliza how.

Ila kama ni kweli basi dunia ina mamboo. Wanaume tulieni mtalishwa hadi mavi kisa tabia zenu za kuonja onja.
 
Hahaha watu wanaumia balaa na hela na jasho la mtu hata wasiemjua aliyeamua kutumia hela zake alivyotaka.
 
Limbwata: silaha ya mwanamke dhaifu asiyejiamini ..!
 
Sio kweli. Makabila yanayodai vitovu vya watoto sana sana Wachaga. hawa hutumia vitovu kwa mazindiko na matambiko kwenye ukoo wao na si kwa malimbwata! Jiulize wachaga na limbwata wapi na wapi! na hao wengine... sidhani (mimi) labda mwingine atupe uzoefu
 
Tukiacha kuonja hao wanaoonjwa watapunguziwa stress na Nani?
Tushukuruni wanaume jamani.
Kuna watu wangekuwa wanaongea peke yao humu njiani.!!
 
Hii limbwata ni kweli ipo, infanya kaz na ina nguvu sana..ILA mwisho wake MWANAUME ANAKUFA..yaan hii limbwata INAUA.
 
Kuna limbwata alipewa jamaa yangu, hatari sana, mwanamke anachukua dawa anachanganya na nyama anaiweka kwenye k au anus kwa masaa 12 alafu anachanganya na mboga nyingine kwa ajili ya jamaa, hahaa alikuwa kama zezeta
 
Wanawake shikamoo kwa tunguli kila kukicha,ama kweli nyie ni mashetani kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom