Baada ya kununiwa kwa week2 mfulilizo bila kujibiwa txt wala kupokea my calls na kuniblock juu ofcourse nilikuwa crazy nilikuwa najua nmeachwa tayar. Huyu bint nampenda sana jaman ndomana niliomba...
Zamani yale mademu manunga embe ndo yalikuwa yanasoma kombi ngumu kama pcm au pcb
na yalikuwa yanafaulu balaa na kufaulu kwao kulichangiwa na ubaya wao kwa kuwa walijua maishani wasiposoma...
Nikiwa club halafu nione demu ananishobokea namchukia sana na namkwepa kabisa.
Kwa sababu naona huyu anajibebisha bebisha ili anipige kizinga nimnunulie bia.
Huyu dada ana roho mbaya sana. amekuwa girl friend wa kaka yangu kwa mwaka mzima na walikuwa wanaishi wote Dar though walikuwa hawakai nyumba mmoja ila sleepover zilikuwa za kutosha. Siku moja...
Yani mwanamke aliye nizidi miaka ambaye sio ndugu yangu au mzazi wangu siwezi kumuamkia kamwe abadani kwa kuwa najua muda wowote anaweza kuwa mke wangu.
Kiufupi nimeoa mwaka 2017 na tumejaaliwa mtoto mmoja, ila kuanzia mwezi wa 12 mwaka jana nimekuwa katika hali ngumu na mke wangu katika ndoa, amekuwa hanisikii mimi kama mmewe kila kitu...
Wadau daah yani katika watu ambao hawaoni faida ya kondomu mimi ni namba moja
Huu mwaka wa pili nawatia mademu bila kondomu na wala sina taimu ya kuvaa kondomu kwenye maisha yangu
Kama kuna...
Habari za MMU wadau!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Leo katika mizunguko yangu maeneo ya Kigambonino kwenye jiji la makondactor basi nikamuona duu mmoja barabarani akiwa anatembea.
Baharia...
Baada ya break up, mwanamke akianzisha mahusiano soon after anaonekana hajatulia na jamii inayomzunguka inamchukulia vibaya. Lakini mwanaume anapofanya the same thing, jamii hiyo hiyo inaona ni...
Nairaland
Emmanuel Acheampong, a senior lecturer at the Ghana Institute of Management and Public Administration (GIMPA) Business School, has come out to share his experience on how a Nigerian...
Hi guys,
Hope weekend ipo poowah kabisa...!!
Ety jamani mnajua kuwa, "Mahusiano yana lugha?"
Basi kama ulikuwa hulijui hilo. Leo Dr sai anakwambia kwamba
"Ndio, mahusiano yana lugha".
Kama...
“Wapenzi hebu nambieni ukweli
Iko hivi: Asubuhi umekorofishana na mumeo, wandoa kabisa, ukaanza kubwata, hakukujibu kitu kwakua anajua yy ndo mkosa, akaelekea kwenye mishe zake bila kukuomba...
Mabaharia mnaopenda vyura,walisheni vinono wenzi wenu ili waongezeke.Chura haiji free kutoka mawinguni,namna utakavyomuhudumia vizuri siku hadi siku....ukubwa utakuwa unaongezeka.Na mwisho wa siku...
Natumai mu wazima ndg wana JF!
Mimi ni kijana niliyezaliwa miaka ishirini na sita iliyopita (26). Ni kijana wa nne kwenye familia ya watoto tano, nilizaliwa moja ya mkoa unaopatikana kasikazini...
✍ MENDE anamuogopa PANYA, PANYA anamuogopa sana PAKA, na PAKA anamwogopa MBWA...wakati huo huo MBWA anamwogopa MWANAUME na kumbe MWANAUME anamwogopa MWANAMKE...sasa hutaamini nikikwambia MWANAMKE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.