Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,587
- 35,322
Nikiwa club halafu nione demu ananishobokea namchukia sana na namkwepa kabisa.
Kwa sababu naona huyu anajibebisha bebisha ili anipige kizinga nimnunulie bia.
Kwa sababu naona huyu anajibebisha bebisha ili anipige kizinga nimnunulie bia.