Je, huu sio ubakaji wa kwenye ndoa?

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
5,557
Points
2,000

brenda18

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
5,557 2,000
“Wapenzi hebu nambieni ukweli

Iko hivi: Asubuhi umekorofishana na mumeo, wandoa kabisa, ukaanza kubwata, hakukujibu kitu kwakua anajua yy ndo mkosa, akaelekea kwenye mishe zake bila kukuomba samahani, aliporudi usiku akakusalimia kama kawaida, ukaitikia ukiwa bado umenuna, akaendelea na mambo yake, time ya kulala ikafika ukalala na kichupi chako, akaanza kukuchokonoa, akakuta una kichupi, akatoka kimyakimya, ww ukavuta shuka kichwani hadi miguuni, akaja na mkasi, shuka likatupwa kule, kichupi kikachanwa kibabe, ukapigwa roba moja kali ukachezea paip (pipe) mpaka ukajikuta unaomba ww samahani.

Sasa si kakubaka huyu unaweza ukamshitaki kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa?”

Katika pita pita zangu fb nimekutana na hii,kwanza nikiri kuweka mambo ya mahusiano mtandaoni si kitu cha hekima lakini kilichonipa attention yangu ni hapo jamaa alipoenda kutafuta mkasi na huko kukabwa ♀♀wanaume shkamoo zenu.
 
Compact

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
3,887
Points
2,000

Compact

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2015
3,887 2,000
Kuna ubakaji ndani ya ndoa. Ndiyo hapo kabakwa.

Ila kwa nini hakumalizana nae hapo aliporudi nyumbani? Au muda huo wa kujiviringishia shuka kichwani, angetumia kutoa ushirikiano. Baada ya bao moja, anaongea naye mambo yanaisha.
 
CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Messages
873
Points
1,000

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2019
873 1,000
Unalalaje na chupi

katumia shortcut

yani usiku nianze kukubembeleza bebi vua bas vua na weweeeeee

Labda niwe sina mkasi humo ndani.

Na hiyo chupi ukute ni ile ngumu ka kisalfet ndo mana mtu akahitaji msaada wa mkasi

Atleast uvae kakitu ka kufungua tu,yani ukivuta uzi mmoja tu chupi yote mwaaaaa

Wanaume tuna stress zingi bana tufanyieni wepesi mambo mengine

Tumegombana sisi na sio vikojoleo.
 
Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
14,878
Points
2,000

Kasie

Platinum Member
Joined Dec 29, 2013
14,878 2,000
Natamani wanaume walio kwenye ndoa walio humu JF waje watoe mawazo yao juu ya ubakaji huu ila nimecheka aiseeeh aahahahahahhaaa looh.

Well maisha yana vituko na vionjo vingi sana kulingana na kila mmoja na jinsi alivyo.

Huyo mke kama ameamua kumwaga mboga anaweza kwenda kufungua kesi mahakamani na sio kwa mwenyekiti wa mtaa na ushahidi wake uwen mkasi, chupi iliyochanwa na shuka. Ikiwezekana kama wana cctv camera chumbani aende nayo, mume atashitakiwa na kuhukumiwa kwa kosa la ubakaji. Kumbuka kubaka hakujasema kama huyu ni mkeo basi una kibali cha kumbaka.

Usione mtu kavaa sarawili yake na tai na koti barabarani ukasema mwanaume si ndo huyu, akiwa faragha ni zaidi ya nyati aahahahahhaa

Usione mwanamke kavaa dera au tite yake ukasema mwanamke si ndo huyu, ukimuweka ndani fulu kununa, kususa, na kubana aahahahahhaa.
 
SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
5,914
Points
2,000

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
5,914 2,000
Wewe ungempa kistaarabu tu, angemaliza angeshukuru na kuomba msamaha kabisa.

Mambo mengine yamalizieni juu kwa juu siyo mpaka aje akulilie msamaha, yawezekana ameshalia huko kazini kupata pesa za kukimu family, sasa unataka akifika tena home alie kisa msamaha!

Ila kwakuwa ulipenda ligi sasa kukupeleka Bundasliga.
 
Yani nimecheka sana toka nilipoiona hio post fb na nipo ofisi ya watu basi wananiona kama chizi
Jinsi alivyochana chupi na kumkaba mi hoi 🤣
 
brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
5,557
Points
2,000

brenda18

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
5,557 2,000
Wewe ungempa kistaarabu tu, angemaliza angeshukuru na kuomba msamaha kabisa.

Mambo mengine yamalizieni juu kwa juu siyo mpaka aje akulilie msamaha, yawezekana ameshalia huko kazini kupata pesa za kukimu family, sasa unataka akifika tena home alie kisa msamaha!

Ila kwakuwa ulipenda ligi sasa kukupeleka Bundasliga.
🤣🤣🤣aisee mpaka tukabane kweli?tuumizane koo kisa
Mbona nyie mkiwa na stress zenu hatuwalazimishi?
 
brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
5,557
Points
2,000

brenda18

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
5,557 2,000
Kuna ubakaji ndani ya ndoa. Ndiyo hapo kabakwa.

Ila kwa nini hakumalizana nae hapo aliporudi nyumbani? Au muda huo wa kujiviringishia shuka kichwani, angetumia kutoa ushirikiano. Baada ya bao moja, anaongea naye mambo yanaisha.
Ni ubakaji huu aisee
Nadhani kama mume angerudi na kuanza kuongea nae kwa lugha nzuri wasingefika hapo
Wanawake ni vitu vidogo vidogo vinatuteka
 
Forum statistics

Threads 1,344,382
Members 515,441
Posts 32,818,409
Top