Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za mida hii wakuu? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Unakuta msichana anakupa namba vizuri, mnaongea vizuri tu ila linapokuja suala la kuonana sehem flan faragha au kuja ghetto...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna mwanamuziki wa oldies aliimba DON'T FALL IN LOVE WITH A DREAMER... tuna makumi kwa maelfu ya watu ambao hawajitambui, wanawake kwa wanaume, wasichana kwa wavulana.. Wasiojua nini maana ya...
21 Reactions
77 Replies
11K Views
Wakuu Habari,, !!!,, Kwa walioko mapumziko hongereni sana, kwa waliko kazini pia hongereni sana. Niende kwenye mada::, Maisha yamekuwa na changamoto sana,, unatafakari hili na lile upate namna...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Kumpata mwanamke/mwanaume hadi ukaingia nae kwenye mahusiano then mkawa na furaha, ni sayansi kubwa sanaa, sio kitoto, na swala linakuja pale mwanzo je una mu win vp huyo mtu hadi muwe pamoja? na...
7 Reactions
39 Replies
6K Views
Bado hata siamini..... Ni muendelezo wa mahaba ya Kasie na Dadiiii. ...... Hizi nyimbo ndo zinasema yote how much I love my dadiiiiii mahaba mia mia kwako Dadiiii mmuaah! !! Halafu ujue...
3 Reactions
86 Replies
7K Views
Kuna wakati huwa najiuliza ni kitu gani kimepungua kwenye bongo zenu? Mnakwama wapi? Thamani yeny mbona hamuipi thamani? Hivi ni kweli utandawazi ni chanzo cha haya yote mnayofanya? Kwanini...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nimeona leo nifunge naye ndoa baada ya kuishi nae tangu 9/2013. GOD BLESS US
7 Reactions
81 Replies
6K Views
KWA WALE WANAWAKE AKA MABINTI MNAOOOMBWA NANINII HUKU MNAENDELEA KUNYWA VYA WATU MUWE MAKINI SANA KUMEZUKA STYLE YA KUWEKEANA KIASI KIDOGO CHA MKOJO KWENYE KINYWAJI UNACHOKUNYWA AMA VALIUM...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Dawa ni moja tu ndugu zangu, kua katika mahusiano na binti aliekuelewa, yanj anaekujali, sana. haijalishi ana mapungufu kiasi gani, kama mwanamke kakuelewa huyo ndie mwanamke anaekufaa Binafsi...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
.....Wanaume tulichowazidi ni Kifua na Muscular Power but, Wanawake Wanavipawa vikubwa Sana No matter What? ..Hivi Wajuha wanawake wengi wanaweza Fanya kazi zaidi ya moja kwa wakati Mmoja...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Naomba kufahamishwa jamani, ile gwanda wanayovaa wale Askari wenye bunduki ambao wanaomlinda Raisi ni ya wapi, au ni wanajeshi wa nchi gani? Maana naona ni tofauti na Kombat ya jeshi letu JWTZ...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale mabaharia ikitokea katika ile hatua ya kupiga deki kule kunako,bibie akarusha maji(kojo),huwa mnatema au mnakunywa?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu,nna majukum mazito ambayo yanapelekea nichungulie sana pesa. Na ukizingatia uchum umeyumba. Tatzo ni kwamba bint niliyenaye mana niliamua nifanye chaguo kat ya wale kadhaa Huyu bint ana...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wana jf..hasa jukwaa hili la mmu.na tumaini jumatatu ya leo itaenda vyema na imeanza vyema kwa wengi wetu.basi allah atusaidie sana..moja kwa moja naomba niende kwenye mada husika Nimekuwa...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Siku zinakimbia sana,bado miezi miwili tu mwaka uishe.Je wale mliokuwa na malengo ya kuukataa/kuagana na ubachela au 'usimbe' yametimia?Kama bado,tuongeze juhudi kwa siku zilizobaki,si vizuri kuwa...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Mdada au mama mtu mzima anahitajika kwaajili ya messenger chats. Umri kuanzia mwaka 23 na kuendelea na awe tayari kutuma picha zake bila kizuizi[emoji848][emoji848][emoji848] Kama upo tayari PM...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Niaje wakuu, Siku zote huwa tunasema mkuki Kwa nguruwe mtamu Kwa binadam mchungu. Kuna Mzee mmoja tulikuw tunaishi nae jirani wakat nasoma chuo mwaka wa tatu chuo flan Dsm. Alikuw ana uwezo uwezo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wapenzi hamjambo? Kuna katabia fulani kameenea sana nchi za Afrika ikiwemo na Tanzania. Hapa siwahamisishi wanaume kukwepa majukumu yao ya kutoa huduma muhimu kwa wachumba au wapenzi wao au wake...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Siku hizi wanaume hawaangalii sura umeipamba kama mwari wa kizaramo au picha zenu mnazoweka mmebetua makalio kama bajaji inamwagwa oil au matiti umeyabetua kama mawe ya Bismark Mwanza, lah! Nani...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
[emoji737]Kama unampa ili umridhishe, basi kaa ukifahamu mwanaume si mtu wa kuridhika, mpe Leo, mpe kesho na bado atataka tena. [emoji737]Kama unampa ili Asichepuke, basi unajidanganya..! Tamaa...
9 Reactions
31 Replies
5K Views
Back
Top Bottom